-
Kujiuzulu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon; duru mpya ya ukwamishaji mambo dhidi ya serikali ya Hassan Diab
Aug 04, 2020 06:49Nassif Hitti, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon Jumatatu ya jana tarehe 3 Agosti alitangaza kujiuzulu wadhifa huo.
-
Rais wa Iraq aunga mkono kufanyika uchaguzi wa mapema nchini humo
Aug 04, 2020 06:46Rais wa Iraq amekaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al Kadhimi kuhusu kufanyika mapema uchaguzi wa bunge.
-
Jinai za Daesh zaongezeka katika maeneo yanayodhibitiwa na Marekani na washirika wake, mpaka wa Iraq na Syria
Aug 04, 2020 02:18Kituo kinachojiita Wasimamizi wa Haki za Binadamu nchini Syria kimetangaza kuwa kumeshuhudiwa ongezeko la uhalifu na jinai za kundi la Daesh katika maeneo yanayodhibitiwa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani karibu na mpaka wa Syria na Iraq.
-
Imran Khan akosoa mashambulizi ya Saudia huko Yemen, asema yanayofanyika Kashmir ni sawa na jinai za Manazi wa Ujerumani
Aug 03, 2020 21:02Waziri Mkuu wa Pakistan amekosoa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya taifa la Yemen.
-
Rais wa Iraq asisitiza umuhimu wa kuhukumiwa waliohusika na kutekwa mji wa Mosul
Aug 03, 2020 21:01Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa maafisa waliowezesha mji wa Mosul utekwe na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh wanapaswa kufikishwa mahakamani na kuhukumiwa.
-
Shambulio la Israel dhidi ya Gaza; shambulio la tatu dhidi ya muqawama katika kipindi cha wiki mbili
Aug 03, 2020 21:00Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel Jumatatu alfajiri zilifanya mashambulio katika maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Mashambulizi ya utawala wa Israel katika ngome za muqawama huko Ghaza; ni ujumbe wa mivutano
Aug 03, 2020 06:33Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unatekeleza mashambulizi katika Ukanda wa Ghaza lengo likiwa ni kuwahamishia wananchi wa Palestina migogoro ya ndani ya utawala huo na kupotosha fikra za walimwengu kuhusu matukio na hali mbaya ya kisiasa inayoukabili sasa utawala wa Israel.
-
Jordan yalaani mpango wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds
Aug 03, 2020 04:57Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jordan imelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuafiki ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni huko mashariki mwa mji wa Quds
-
Al-Hashdu-Sha'abi yarejesha usalama kamili kaskazini mwa Iraq
Aug 03, 2020 03:03Afisa wa harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq ya al Hashdu Sha'abi ametangaza kuwa wapinagaji wa harakati hiyo wamezuia kujiri matukio ya kiusalama kaskazini mwa Iraq kwa kutekeleza oparesheni za kiusalama na kiintelijinjsia katika siku za karibuni.
-
Waziri wa Ulinzi: Lebanon iko tayari kukabiliana na hujuma ya utawala wa Kizayuni
Aug 02, 2020 23:09Waziri wa Ulinzi wa Lebanon amesema jeshi la nchi yake liko tayari kabisa kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.