-
Palestina yaitaka ICC ifanye uchunguzi kuhusu jinai za Israel
Aug 02, 2020 23:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) ichukue hatua za haraka za kuchunguza jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hasa kitendo cha utawala huo cha kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Radiamali mbalimbali kwa tarehe ya kuitishwa uchaguzi wa mapema wa Bunge nchini Iraq
Aug 02, 2020 22:42Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq ameitangaza tarehe 6 Juni ya mwaka ujao wa 2021 kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa mapema wa Bunge.
-
Palestina yalaani mpango wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa Quds
Aug 02, 2020 05:27Serikali ya Palestina imelaani hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kupasisha mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni huko kaskazini mwa mji wa Quds (Jerusalem).
-
Maelfu ya Waisraeli waandamana mkabala wa makazi ya Netanyahu wakitaka ajiuzulu
Aug 02, 2020 03:30Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni jana usiku vilitangaza habari ya kuendelea maandamano ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu mkabala na makazi ya Waziri Mkuu wa utawala huo unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu.
-
Tathmini ya utendaji wa jeshi la Syria katika kupambana na ugaidi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuasisiwa kwake
Aug 02, 2020 02:06Kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 75 wa kuasisiwa jeshi la Syria, Rais Bashar al Assad amelisifu na kulipongeza jeshi hilo kwa mchango wake katika vipindi tofauti vya vita dhidi ya ugaidi na kuendelea kwake kuwalinda watu wa nchi hiyo.
-
Harakati ya Jihad Islami ya Palestina yasisitiza kuendeleza mapambano
Aug 01, 2020 21:01Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imesisitiza azma na irada yake ya kuendeleza jihadi na mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Muhammad Ali al-Houthi: Ugaidi ni wenzo unaotumiwa na Trump kuwakandamiza wapinzani
Aug 01, 2020 21:01Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumia ugaidi kama wenzo wa kukabiliana na wapinzani wa siasa za Washington pamoja na ugaidi wa kiserikali wa nchi hiyo.
-
Mpango wa Saudia na UAE wa kutorosha magaidi walioko gerezani Iraq
Aug 01, 2020 07:01Mbunge mmoja nchini Iraq amefichukua kuhusu mpango wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu wa kutorosha wafungwa katika jela ya al Hoot nchini Iraq
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Uchaguzi wa mapema wa Bunge utafanyika Juni 6, 2021
Aug 01, 2020 02:52Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhimi ametangaza kuwa siku ya Ijumaa ya tarehe 6 Juni 2021 ndipo utapofanyika uchaguzi wa kabla ya wakati wa bunge la nchi hiyo.
-
Kifo cha taratibu cha watu wa Yemen baina ya mabomu ya Saudi Arabia na virusi vya corona
Jul 31, 2020 22:01Waziri wa Afya wa Yemen ametangaza kuwa, kuendelea mashambulizi ya Saudi Arabia na washirika wake na maambukizi ya virusi vya corona kunazidisha vifo vya taratibu na polepole vya watu wa Yemen.