-
Kifo cha taratibu cha watu wa Yemen baina ya mabomu ya Saudi Arabia na virusi vya corona
Jul 31, 2020 22:01Waziri wa Afya wa Yemen ametangaza kuwa, kuendelea mashambulizi ya Saudi Arabia na washirika wake na maambukizi ya virusi vya corona kunazidisha vifo vya taratibu na polepole vya watu wa Yemen.
-
Makumi ya maelfu ya Wapalestina wasali Sala ya Idi katika msikiti wa Al Aqsa
Jul 31, 2020 11:06Makumi ya maelfu ya Wapalestina wamesali Sala ya Idul-Adh'ha katika msikiti wa Al Aqsa licha ya hatua za kiuadui zilizochukuliwa dhidi yao na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Amnesty International yatahadharisha kuhusu hali ya watoto waliokombolewa kutoka kwa kundi la Daesh nchini Iraq
Jul 31, 2020 03:14Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa karibu watoto elfu mbili waliokombolewa kutoka kwa wapiganaji wa kindi la kigaidi la Daesh wanaendelea kusumbuliwa na matatizo ya kimwili na kinafsi.
-
Nyakati "ngumu zaidi" kwa Benjamin Netanyahu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 31, 2020 02:31Maandamamano ya kumshinikiza Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel ajiuzulu yanaongezeka na kushadidi kila siku. Netanyahu amekuwa Waziri Mkuu wa Israel tangu mwaka 2009.
-
'Ndege zisizo na rubani za Marekani na Israel ndizo zilizoshambulia kambi za Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq'
Jul 30, 2020 21:56Mbunge wa Iraq Falih al-Khazali amesema, kuna nyaraka zinazoonyesha kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zilizohusika katika hujuma ya shambulio la kijeshi dhidi ya vituo vya jeshi la kujitolea la wananchi wa nchi hiyo la Al-Hashdu-Sha'abi.
-
Serikali ya Afghanistan: Taliban katu haitashinda vita wala haitaidhibiti nchi
Jul 30, 2020 21:56Makamu wa Pili wa Rais wa Afghanistan amesisitiza kuwa, kundi la Taliban katu halitashinda katika vita vya nchi hiyo.
-
Mahujaji wanasimama Arafa leo, huku wakitiliwa mkazo kuchunga prokali za masuala ya tiba
Jul 30, 2020 03:30Leo ni siku ya Arafa tarehe 9 Mfunguo Tatu Dhul-Hija ambapo Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wanasimama katika uwanja wa Arafa.
-
Dhaifulllah al-Shami: Saudia inaamiliana na maeneo matakatifu kama vile ni milki yake binafsi
Jul 30, 2020 03:24Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unaamiliana na maeneo matakatifu ya Makka na Madina kama vile ni milki yake binafsi.
-
Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa
Jul 30, 2020 03:02Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
-
Mwakilishi wa Yemen UN: Kuzuiliwa meli za Yemen ni jinai ya kivita
Jul 29, 2020 22:06Mwakilishi wa kudumu wa Yemen katika Umoja wa Mataifa amesema kitendo cha muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia cha kuzizuia meli zilizobeba fueli na bidhaa za chakula kwa ajili ya raia wa nchi hiyo ni jinai ya kivita.