-
Ayatullah Jannati asifu subira na muqawama wa wananchi wa Yemen dhidi ya jinai za Saudi Arabia
Jul 29, 2020 22:05Ayatullah Ahmad Jannati, Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesifu subira, mapambano na kusimama kidete wananchi wa Yemen dhidi ya jinai na ukatili wa utawala wa Saudi Arabia pamoja na washirika wake.
-
Kuporomoka vibaya Benjamin Netanyahu na chama chake cha Likud
Jul 29, 2020 22:05Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) yanaonyesha kuwa, uungaji mkono wa wananchi kwa chama cha Likud kinachoongozwa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu unaendelea kupungua kwa kasi siku baada ya siku.
-
Kifo cha kutatanisha cha mwandishi wa habari Saudia chafungua faili jipya dhidi ya Bin Salman
Jul 29, 2020 10:25Kifo cha kutatanisha cha mwandishi mwengine wa habari raia wa Saudi Arabia kimeibua tena kwenye vyombo vya habari mafaili ya ukandamizaji dhidi ya wakosoaji wa utawala wa Aal Saud ambao hauwahurumii hata jamaa zake wa karibu.
-
HAMAS: Tumelikataa pendekezo la kupatiwa dola bilioni 15 tukubali muqawama upokonywe silaha
Jul 28, 2020 22:02Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amefichua kuwa, mnamo miezi miwili nyuma harakati hiyo ililikataa pendekezo la kupatiwa msaada wa fedha wa thamani ya dola bilioni 15 kupitia mpango wa Muamala wa Karne kwa sharti la kukubali muqawama wa Palestina upokonywe silaha.
-
Wabunge wa Ufaransa wataka Bahrain ifutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo
Jul 28, 2020 06:56Wabunge wa Ufaransa wameuandikia barua utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain wakiutaka ufutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kasi ya maambukizi ya corona nchini Yemen
Jul 28, 2020 06:04Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kutokana na uhaba wa zana na kasi kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Yemen.
-
Israel yashindwa katika vita vya kisaikolojia katika kumbukumbu ya mwaka wa 14 wa vita vya siku 33
Jul 28, 2020 06:03Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa 14 wa Vita vya Siku 33, utawala wa Kizayuni unakabiliwa na changamoto kadhaa za ndani na hivyo umeanzisha vita vipya vya kisaikolojia dhidi ya Hizbullah. Pamoja na hayo, lakini taarifa ya Hizbullah imesambaratisha vita hivyo vya kisaikolojia.
-
Balozi wa Iran Lebanon: Utawala wa Kizayuni utashindwa tu katika chokochoko zozote utakazozianzisha
Jul 28, 2020 02:36Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebnon amesema kuwa utawala haramu wa Israel haujasahau kipigo kikali ulichokipata katika vita vya siku 33 na kusisitiza kuwa utawala huo unapasa kujitayarisha kwa kipigo kingine kikali zaidi iwapo utathubutu kuanzisha chokochoko zingine katika eneo.
-
Sheikh Isa Qassim: Uislamu unahujumiwa nchini Bahrain
Jul 28, 2020 00:12Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain Sheikh Isa Ahmed Qassim ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa na maadui kwa ajili ya kupotosha na kuhariibu sura safi ya Uislamu na kusema kuwa, dini ya Uislamu inahujumiwa na kushambuliwa nchini Bahrain.
-
Kupasisha Marekani msaada wa dola bilioni 38 kwa ajili ya utawala haramu wa Israel
Jul 27, 2020 22:00Jumapili ya tarehe 26 Julai, Kongresi ya Marekani ilipasisha msaada wa kifedha kwa utawala haramu wa Israel wa dola bilioni 38 katika kipindi cha miaka kumi.