-
Hamas yapinga misaada ya kifedha ya Marekani kwa utawala haramu wa Israel
Jul 27, 2020 08:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imepinga hatua ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha bajeti ya msaada wa kifedha kwa ajili ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kuwa: Hatua hiyo inaimarisha mienendo ya kibabe na ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Ansarullah: Kambi ya Muqawama itaendelea kukabiliana na Marekani, Israel
Jul 27, 2020 07:47Harakati ya Ansarullah ya wananchi wa Yemen imetangaza kuwa pande zote za Muqawama ni kambi moja inayopambana na ubeberu wa Marekani.
-
Barua ya Israel kwa Umoja wa Mataifa; hofu na kiwewe cha kulipizwa kisasi na Hizbullah
Jul 27, 2020 03:45Israel imeuomba Umoja wa Mataifa ufanye usuluhishi kwa kuhofia Hizbullah ya Lebanon isije ikalipiza kisasi dhidi yake, huku mgogoro ndani ya utawala huo wa Kizayuni ukizidi kushadidi kufuatia maandamano ya maelfu ya watu ya kumpinga waziri mkuu Benjamin Netanyahu.
-
Wapalestina 27 wauawa shahidi miezi sita ya kwanza mwaka 2020
Jul 27, 2020 02:54Wapalestina 27 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2020.
-
Makundi ya Palestina yaonya kuhusu uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel
Jul 26, 2020 21:00Makundi ya mapambano huko Palestina yameonya hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Abdul-Salaam: Wanachotaka wavamizi sio amani ni kusalimu amri Yemen
Jul 26, 2020 21:00Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ametangaza kuwa, unachotaka muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia huko Yemen sio amani bali ni kusalimu amri Yemen.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel waomba usuluhishi wa UN kwa kuhofia kipigo cha Hizbullah
Jul 26, 2020 09:09Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, utawala huo umetuma barua kwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon kupitia Umoja wa Mataifa.
-
Waziri wa Mafuta Yemen: Wasaudi wamepora mamilioni ya mapipa ya mafuta ya Yemen
Jul 26, 2020 09:09Waziri wa Mafuta wa Yemen amesema, kwa miaka kadhaa ya karibuni, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia pamoja na mamluki wao wamepora akiba kubwa ya mafuta ya nchi hiyo.
-
Baraza Kuu la Masuala ya Kibinadamu Yemen laikosoa UN kwa kunyamazia kimya jinai za Saudia
Jul 26, 2020 03:35Msemaji wa Baraza Kuu la Masuala ya Kibinadamu la Yemen amesema kuwa Umoja wa Mataifa unaendelea kunyamaza kimya mbele ya njama na uhalifu mkubwa unaofanywa na Saudi Arabia na washirika wake nchini humo.
-
Mousavi: Iran ina azma ya kuwa na uhusiano wa kirafiki na madola yote makubwa ya Asia
Jul 25, 2020 22:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Iran ina sera ya muda mrefu ya kuwa na uhusiano wenye mlingano na wa kirafikia na madola yote makubwa ya eneo la Eurasia, Asia Kusini na Asia Mashariki na ina azma ya kuendeleza sera hiyo."