-
Netanyahu aongeza bajeti ya Wizara ya Vita licha ya uchumi kudorora vibaya
Jul 25, 2020 06:56Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ameitaka Wizara ya Fedha ya utawala huo ghasibu kutenga kiwango kingine cha dola bilioni moja kama bajeti ya Wizara ya Vita.
-
HAMAS na Fat'h kujadili namna ya kukabiliana na mpango wa kuumega Ufukwe wa Magharibi
Jul 25, 2020 03:44Harakati za Palestina za HAMAS na Fat'h zimekubaliana kuitisha kikao cha pamoja katika Ukanda wa Gaza kwa lengo la kujadili njia za kukabiliana na mipango ya utawala wa Kizayuni ya kughusubu ardhi za Palestina.
-
Baadhi ya wanamgambo wa Taliban walioachiwa huru kutoka jela wamerudi tena vitani
Jul 25, 2020 02:49Msemaji wa Baraza la Usalama wa Taifa la Afghanistan amesema wafungwa kadhaa wanamgambo wa kundi la Taliban ambao wameachiwa huru kutoka jela wamerudi tena kwenye medani za vita vya ndani vya nchi hiyo.
-
Utawala unaotenda jinai wa Israel watumia mabavu dhidi ya waandamanaji
Jul 24, 2020 22:11Waisraeli ambao wamekuwa wakiandamana kupinga baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu wamekabiliwa na utumiaji mabavu wa wanajeshi wa Israel.
-
Ufunguo wa kutatua mgogoro wa Syria ni kulindwa mamlaka ya kujitawala na wananchi kuwa na nafasi katika utawala
Jul 24, 2020 08:54Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kulindwa mamlaka ya kujitawala, mipaka na uhuru wa kisiasa Syria ni mambo ya dharura na pia wanajeshi wote wa kigeni walioko Syria wanapaswa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo mara moja.
-
Mufti wa Masuni Iraq atoa fatua ya kutilia mkazo ulazima wa majeshi vamizi kuondoka nchini humo
Jul 24, 2020 03:45Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq amesisitiza udharura na ulazima wa vikosi vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Wazayuni wamebomoa nyumba zaidi ya 2,000 za Wapalestina katika mwaka 2019
Jul 24, 2020 03:27Utawala haramu na dhalimu wa Kizayuni wa Israel ulibomoa nyumba zaidi ya 2,000 za Wapalestina katika mwaka uliopita wa 2019.
-
Taliban lakubali kwa masharti kuanza mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani Afghanistan
Jul 24, 2020 03:06Kundi la Taliban limetangaza kuwa, liko tayari kwa masharti kuanza mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani baina ya Waafghani.
-
Jumuiya za Umoja wa Mataifa zatahadharisha kuhusu uhaba wa chakula nchini Yemen
Jul 23, 2020 21:54Mashirika ya Umoja wa Mataifa yakiwemo UNICEF na FAO yametoa ripoti ya pamoja yakiitahadharisha dunia kuhusu hali mbaya ya upungufu mkubwa wa chakula nchini Yemen.
-
Qatar: Tuko tayari kupatiwa ufumbuzi kidiplomasia mgogoro wetu na waliotuwekea mzingiro
Jul 23, 2020 08:32Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, nchi yake iko tayari kupatiwa ufumbuzi kupitia njia za kidiplomasua mgogoro wake na mataifa yaliyoiwekea mzingiro nchi hiyo yaani Saudia Arabia, Imarati, Bahrain na Misri.