-
Hamas na Fat'h kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa Israel
Jul 23, 2020 08:31Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza ushirikiano wake na Chama cha Fat'h kwa ajili ya kuanza mapambano yenye malengo dhidi ya utawala vamizi wa Israel.
-
Jumuiya 16 za kimataifa zaiandikia barua Bahrain na kuitaka isiwanyonge raia
Jul 23, 2020 08:30Jumuiya 16 za kimataifa zimemuandikia barua mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa bin Salman al-Khalifa zikimtaka azuie utekelezaji wa adhabu ya kifo dhidi ya vijana wawili kwa kosa la kuwashambulia polisi.
-
Jibu la HAMAS kwa 'ubabe wa kisiasa' wa Marekani unaolenga kuiremba sura chafu ya Israel
Jul 23, 2020 05:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, matamshi ya mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi ya harakati hiyo ni "uzandiki, upotoshaji na ubabe wa kisiasa".
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafuta mazoezi ya kijeshi likihofia kushambuliwa na Hizbullah
Jul 23, 2020 03:34Duru za habari za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamefuta mazoezi waliyopanga kufanya wakihofia kushambuliwa na harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Sheikh Isa Qassim asisitiza kuendelezwa muqawama Bahrain kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa
Jul 22, 2020 23:46Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amesema, wanaowanyima na kuwazuia wananchi wa Bahrain haki yao ya kulalamika ni watu wajeuri na wachokozi na akasisitiza kwamba, muqawama wa wananchi hao wa kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa ungali unaendelea.
-
Wasomi wa Iran kwa wenzao wa Asia Magharibi: Tushauriane kuhakikisha Marekani inaondoka katika eneo
Jul 22, 2020 23:46Maelfu ya wasomi na wenye vipawa nchini Iran kutoka vyuo vikuu vya akademia na vyuo vikuu vya kidini wamewaandikia barua maalumu wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchi za eneo la Asia Magharibi wakitaka wabadilishane nao mawazo kuhusu njia za kitaalamu zitakazohakikisha Marekani inaondoka katika eneo hili.
-
Waziri Mkuu wa Jordan: Wazayuni wana imani na maana halisi ya neno Apartheid
Jul 22, 2020 03:23Waziri Mkuu wa Jordan amesema kuwa, utawala haramu wa Israel una imani na maana halisi ya neno Apartheid yaani siasa ya ubaguzi wa rangi.
-
Maradhi ya Mfalme Salman na kuanza tena vita vya kuwania madaraka nchini Saudi Arabia
Jul 22, 2020 01:30Kulazwa hospitalini Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia kumeanzisha duru mpya ya vita vya kuwania madaraka nchini humo.
-
Rais wa China: Kadhia ya Palestina ndiyo kuu zaidi Asia Magharibi
Jul 21, 2020 22:01Rais Xi jingping wa China amesema kadhia ya Palestina ndilo swala kuu zaidi hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi.
-
Hali ya fadhaa kando ya kasri ya kifalme ya Saudi Arabia
Jul 21, 2020 07:01Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kusikika hii leo milio ya risasi kando ya kasri ya kifalme huko Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia.