-
Hamas: Bomoabomoa ya nyumba za Wapalestina; utekelezaji kivitendo mpango wa kutwaa ardhi za Palestina
Jul 21, 2020 06:33Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unabomoa nyumba za wananchi wa Palestinana hivyo inatekeleza kivitendo mpango wake wa kuikalia kwa mabavu sehemu kubwa ya ardhi ya Ukingo wa Mgharibi wa Mto Jordan.
-
OIC yataka kuachiwa huru mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa Israel
Jul 21, 2020 03:03Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu zimetoa wito wa kuachiwa huru mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel kutokana na mlipuko wa virusi vya corona.
-
UN: Vifo vya waathitika wa corona nchini Yemen ni mara 5 zaidi ya kiwango cha kimataifa
Jul 21, 2020 02:09Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, vifo vya waathirika wa virusi vya corona katika nchi inayozingirwa ya Yemen ni mara tano zaidi ya kiwango cha maeneo mengine ya dunia.
-
Vielelezo muhimu vya Uchaguzi wa Bunge nchini Syria
Jul 21, 2020 01:24Tarehe 19 Julai, wananchi wa maeneo tofauti ya Syria walijitokeza kwenye maeneo ya kupigia kura kwa ajili ya kushiriki katika Uchaguzi wa Bunge.
-
Al Nujabaa: Televisheni ya Saudia ya al Arabiya ni jukwaa la utawala wa Kizayuni
Jul 20, 2020 21:51Harakati ya mapambano ya al Nujabaa nchini Iraq imetangaza kuwa, televisheni ya al Arabiya ya Saudi Arabia ni jukwaa la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mgomo mkubwa wa wauguzi waanza Israel; serikali ya Netanyahu yakalia kuti kavu
Jul 20, 2020 06:37Wauguzi huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) wameanza mgomo wao Jumatatu ya leo wakilalamikia uzembe wa serikali ya Waziri Mkuu wa utawala ghasibu Benjamin Netanyahu katika kukabiliana na virusi vya Corona.
-
Uasi dhidi ya Netanyahu
Jul 20, 2020 04:53Kwa wiki ya nne mfululizo, wapinzani katika utawala ghasibu wa Israel, wameandama mbele ya nyumba ya Benjamini Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo kupinga siasa zake mbovu na ufisadi wa mwanasiasa huyo.
-
Zarif: Iran daima inataka uhusiano mwema baina ya Baghdad na Arbil
Jul 20, 2020 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema daima Tehran imekuwa ikitaka kuwepo uhusiano mwema baina ya Baghdad na Arbil.
-
Haaretz: Nasrullah ana taathira na ushawishi usio wa kawaida kwa Waisraeli
Jul 19, 2020 23:08Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, kinachoyafanya maneno ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah yawe na taathira isiyo ya kawaida kwa Wazayuni ni ukweli wake, kutokuwa na mzaha katika kauli zake na uwelewa alionao kwa masuala ya Israel.
-
Walid al Muallim: Uchaguzi wa Bunge ni ushindi mwingine kwa taifa la Syria
Jul 19, 2020 19:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uchaguzi wa Bunge uliofanyika jana Jumapili nchini humo ni ushindi mwingine kwa taifa hilo na utakuwa ni sababu ya kupungua uingilaji wa kigeni kama ambavyo utatia kasi pia mchakato wa kuijenga upya nchi hiyo ya Kiarabu.