-
Zarif: Iran na Iraq zinapaswa kuwa macho na tayari kukabiliana na ugaidi
Jul 19, 2020 06:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Iraq daima zinapaswa kuwa macho na tayari kwa ajili ya kukabiliana na njama za magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Jihadul Islami ya Palestina yalalamikia njama mpya za "Google" na "Apple"
Jul 19, 2020 06:18Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imekosoa vikali kitendo cha mashirika ya intaneti ya Google na Apple ya Marekani ya kuondoa neno "Palestina" katika ramani zao za dunia.
-
Uchaguzi wa Bunge nchini Syria unafanyika leo
Jul 19, 2020 02:23Wananchi wa Syria waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge.
-
Makundi ya Palestina yasisitiza kuwa tayari kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni
Jul 19, 2020 02:22Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, vikosi vya muqawama wa Kiislamu Palestina vimejiandaa kikamilifu kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni maghasibu.
-
Yedioth Ahronoth: Benjamin Netanyahu ni kirusi hatari mno
Jul 18, 2020 22:19Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha makala inayomkosoa vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kueleza kuwa, mwanasiasa huyo ni kirusi hatari mno.
-
Hamas: Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na Waislamu
Jul 18, 2020 03:35Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, mji mtakatifu wa Quds pamoja na Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, ni mstari mwekundu kwa taifa la Palestina na kambi ya muqawama na kwamba kuyaunga mkono maeneo hayo matakatifu ni jukumu la kidini na kimaadili la mataifa yote ya Waislamu.
-
UN: Kuzingirwa Ukanda wa Ghaza ni kuwaadhibu kwa umati Wapalestina
Jul 18, 2020 03:29Ripota na mtaalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kuuzingira Ukanda wa Ghaza kunakofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuwaadhibu kwa umati wananchi wa Palestina.
-
Shambulio la Muungano wa Kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya mji wa al-Jawf; kusubiriwa jibu kali la Ansarullah
Jul 17, 2020 22:05Ndege za kijeshi za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen hivi karibuni ulifanya shambulio la anga dhidi ya sherehe ya harusi ya kabila la Bani Nouf katika mji wa Hazm mkoani al-Jawf na kusababisha kwa akali watu 24 kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake
Jul 17, 2020 22:02Wawakilishi wa Bunge la Malaysia wametoa wito wa kufukuzwa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa.
-
Iran yalaani jinai zinazoendelea kufanywa na Saudia na washirika wake huko Yemen
Jul 17, 2020 22:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amelaani vikali hujuma mpya iliyofanywa na Saudi Arabia na washirika wake ya kulenga sherehe ya harusi katika miji ya al Hajjah na al Jawf huko Yemen ambako watu zaidi ya 25 wakiwemo wanawake na watoto wadogo wameuawa na wengine kujeruhiwa.