-
Iran yalaani jinai zinazoendelea kufanywa na Saudia na washirika wake huko Yemen
Jul 17, 2020 22:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amelaani vikali hujuma mpya iliyofanywa na Saudi Arabia na washirika wake ya kulenga sherehe ya harusi katika miji ya al Hajjah na al Jawf huko Yemen ambako watu zaidi ya 25 wakiwemo wanawake na watoto wadogo wameuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Baraza la Maulamaa Yemen: Umma wa Kiislamu usimame kuuhami Msikiti wa al-Aqsa na Haram Mbili tukufu
Jul 17, 2020 10:13Baraza la Maulamaa wa Yemen limeyatolea mwito mataifa ya Kiislamu wa kuyataka yatekeleze jukumu lao la kuuhami msikiti wa al-Aqsa na Haram Mbili tukufu katika kukabiliana na chokochoko za Wazayuni na utawala wa Aal Saud.
-
Wayemen: Kimya cha dunia kimeishajiisha Saudia iendelee kufanya jinai za kivita dhidi yetu
Jul 17, 2020 03:32Wananchi wa Yemen wamelaani vikali wimbi la mashambulizi ya anga yanayofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya raia wa nchi hiyo maskini ya Kiarabu na kusisitiza kuwa, kimya cha jamii ya kimataifa kimeishajiisha Riyadh iendelee kufanya jinai hizo za kivita nchini humo.
-
Kuvunjwa kundi la Ikhwanul Muslimin nchini Jordan, sababu na matokeo yake
Jul 17, 2020 03:31Mahakama ya Rufaa ya Jordan imetoa hukumu ikitangaza kuvunjwa kundi la Ikhwanul Muslimin nchini humo.
-
Vyama mbalimbali Yemen vyapinga kuhuisha uhusiano na adui Mzayuni
Jul 16, 2020 22:12Washiriki katika kikao kilichofanyika Sana'a mji mkuu wa Yemen wakiwakilisha vyama mbalimbali vya siasa na wawakilishi wa Palestina wamesisitiza udharura wa kusimama imara na bega kwa bega na wananchi wa Palestina na kupinga aina zote za kuanzishwa uhusiano na utawala ghasibu wa Israel.
-
Wakuu 300 wa kisiasa na kijeshi wanasubiri kutiwa mbaroni kwa ufisadi nje ya 'Israel'
Jul 16, 2020 07:55Utawala wa Kizayuni wa Israel umeandaa orodha ya siri ya wakuu 200 hadi 300 wa kisiasa na kijeshi wa utawala huo ambao wanasubiri kutiwa mbaroni nje ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Wabunge wa Ufaransa waunga mkono kuwekewa vikwazo vya kimataifa Israel
Jul 16, 2020 07:53Wabunge wa Ufaransa wameunga mkono kuwekewa vikwazo vya kimataifa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS yalaani propaganda chafu za Kanali ya Televisheni ya al-Arabiya dhidi ya Palestina
Jul 15, 2020 22:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa rasmi ikikosoa na kulaani hatua ya Kanali ya Televisheni ya al-Arabiya ya Aal Saud ya kuendesha propaganda chafu dhidi ya makundi ya muqawama ya Palestina.
-
Maandamano makubwa yafanyika Israel kumshinikiza Netanyahu ajiuzulu
Jul 15, 2020 22:10Wakazi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) wamefanya maandamano makubwa na kukusanyika mbele ya makao ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na kutoa wito wa kujizulu kiongozi huyo.
-
Waitifaki wa Saudia na Imarati waendelea kutwangana risasi na kuuana nchini Yemen
Jul 15, 2020 09:24Mapigano kati ya wanamgambo wa Baraza la Mpito linaloungwa mkono na Imarati na wale wanaoungwa mkono na Saudi Arabia katika mkoa wa Abyan kusini mwa Yemen yameshtadi na kupamba moto.