-
Israel kujenga nyumba 3,000 kwa ajili ya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Dec 25, 2019 09:11Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametangaza kuwa, uitawala huo una mpango wa kujenga nyumba nyingine mpya 3,000 katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
UN na jumuiya za kimataifa zapinga hukumu ya kimaonyesho ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Dec 25, 2019 03:37Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia una historia ndefe ya ukiukaji wa haki za binadamu na kukandamiza wapinzani wake ndani naa nje ya nchi hiyo. Miongoni mwa vielelezo vya wazi vya ukatili na ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu wa Saudia ni mauaji ya kutisha yaliyofanywa na maajenti wa utawala huo dhidi ya mwandishi na mpiznni wa serikali ya Riyadh, Jamal Khashoggi.
-
Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat
Dec 24, 2019 23:25Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mohammad Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen nchini Oman.
-
Utawala wa Israel ulimpa sumu Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoxi Quds (Jerusalem)
Dec 24, 2019 09:37Askofu Mkuu wa Diosisi ya Sebastia ya Kanisa la Kiothodoxi la Quds (Jerusalem) Atallah Hanna ambaye amelazwa hospitalini kutokana na kuvuta pumzi ya mada hatari za kemikali amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika katika kumpa sumu.
-
UN yatiwa wasiwasi na ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi ya Palestina
Dec 24, 2019 04:30Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Mashariki ya Kati amesema kuwa, mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi na Quds Mashariki huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa asilimia 70 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.
-
Saudi Arabia imewahukumu kifo watu watano kwa hatia ya mauaji ya Khashoggi
Dec 23, 2019 10:09Saudi Arabia leo Jumatatu imewahukumu kifo watu watano na wengine watatu kifungo cha jumla ya miaka 24 kwa kupatikana na hatia ya mauaji ya mwandishi habari mzawa wa nchi hiyo, Jamal Khashoggi yaliyojiri Oktoba mwaka jana huko Istanbul, Uturuki.
-
Waziri wa Israel aitaka Tel Aviv kubomoa kijiji kimoja cha Wapelestina kila siku
Dec 22, 2019 23:13Waziri wa Usafirishaji wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa kijiji kimoja cha Palestina kila siku na kuangamiza kabisa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ikiwa ni katika kulipiza kisasi dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kuanza uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi ikiwemo Quds na Ukanda wa Gaza.
-
Kuna uwezekano viongozi wa Israel wakatiwa mbaroni katika zaidi ya nchi 100 duniani
Dec 22, 2019 23:12Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel vimetangaza habari ya uwezekano wa kutiwa mbaroni viongozi wa utawala huo ndani ya zaidi ya nchi 100 za dunia, iwapo uchunguzi utaanza katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na jinai za kivita zilizofanywa na Tel Aviv.
-
Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga
Dec 22, 2019 23:10Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na washirika wake umepelekea kurejea nyuma makundi ya kigaidi kwenye ngome zao za mwisho yaani katika mkoa wa Idlib.
-
Muungano vamizi wa Saudia waendelea kusimamisha meli za mafuta na chakula za Yemen
Dec 22, 2019 10:43Shirika la Mafuta la Yemen limetangaza kwamba, muungano vamizi wa Saudi Arabia umeendeleza siasa zake za kusimamisha meli za mafuta za nchi hiyo kwa lengo la kuwazidishia mashinikizo na matatizo raia wa nchi hiyo.