-
Netanyahu apongeza juhudi za Imarati za kuimarisha uhusiano na Israel
Dec 22, 2019 10:33Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amepongeza jitihada zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu za kutaka kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano wa utawala huo pandikizi na baadhi ya nchi za Kiarabu.
-
Gebran Basil asisitiza kushirikishwa makundi yote ya Lebanon katika uundaji wa serikali
Dec 22, 2019 03:53Gebran Basil Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali inayosimamia masuala ya Lebanon amesisitiza kuhusu udharura wa kushirikishwa makundi yote ya Walebanoni katika uundaji wa serikali mpya nchini humo. Amesema hakuna kundi litakalofutwa kwa maslahi ya jingine.
-
Uamuzi wa Mahakama ya ICC wa kufuatilia jinai za utawala wa Kizayuni
Dec 21, 2019 21:43Hatua zilizo dhidi ya ubinadamu na za ukiukaji sheria zinazochukuliwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina zimekuwa zikilaaniwa mara kwa mara na taasisi za kutetea haki za binadamu na pia za kimataifa. Kutokana na kushtadi kwa hatua hizo za utendaji jinai, taasisi ya kimataifa yenye jukumu la kushughulikia jinai za kivita hivi sasa imepanga kuchunguza suala hilo.
-
Saudi Arabia: Hatukumshinikiza Imran Khan asishiriki mkutano wa Kuala Lumpur
Dec 21, 2019 10:08Saudi Arabia imetangaza kuwa, madai kwamba, nchi hiyo ilimshinikiza Iimran Khan Waziri Mkuu wa Pakistan asishiriki mkutano wa "Kuala Lumpur 2019" hayana ukweli wowote.
-
Turk al-Faisal: Qatar inaunga mkono makundi ya upinzani katika Mashariki ya Kati
Dec 21, 2019 10:08Turk al-Faisal, Mkuu wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa nchini Saudi Arabia ameituhumu nchi ya Qatar kwamba, imekuwa ikichochea ghasia na machafuko katika nchi za Bahrain, Imarati na Saudia kupitia kuyaunga kwake mkono na kuyasaidia kifedha makundi ya upinzani.
-
Palestina yakaribisha uamuzi wa ICC wa kuchunguza jinai zilizofanywa na Israel Gaza na Ufukwe wa Magharibi
Dec 21, 2019 04:30Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kuchunguza jinai za kivita zilizofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Waziri Mkuu mpya wa Lebanon; vipaumbele vyake na changamoto zinazomkabili
Dec 20, 2019 08:42Rais Michel Aoun wa Lebanon amemtangaza Hassan Diab, shakhsia miongoni mwa Waislamu wa madhehebu ya Sunni na waziri wa zamani wa elimu ya juu wa nchi hiyo, kuwa waziri mkuu mpya na kumpa jukumu la kuunda serikali.
-
Arab League yailaani Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara Quds tukufu
Dec 20, 2019 08:12Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeikosoa vikali Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara katika mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Baada ya vuta nikuvute hatimaye Lebanon yapata Waziri Mkuu
Dec 20, 2019 04:33Baada ya vuta nikuvute ya kisiasa nchini Lebanon, hatimaye nchi hiyo imefanikiwa kupata Waziri Mkuu mpya ikiwa ni karibu miezi miwili tangu alipojiuzulu Saad Hariri aliyekuwa akishikilia wadhifa huo.
-
Ujerumani yaituhumu harakati ya muqawama ya Lebanon
Dec 19, 2019 21:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani sambamba na siasa za White House ametoa matamshi yasiyo na msingi wowote dhidi ya Hizbullah na kuituhumu harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon kuwa ni ya kigaidi.