-
Juhudi za Bunge la Marekani kuongeza bajeti ya silaha za nyuklia na kijeshi
May 01, 2025 23:32Ofisi ya Bajeti ya Bunge la Marekani (CBO), taasisi ya shirikisho isiyoegemea upande wowote, imetangaza kwamba ikiwa Marekani inataka kuendelea kutumia uwezo wa vikosi vyake vya silaha za nyuklia, itahitaji kuongeza bajeti yake kwa kiwango kikubwa.
-
Marekani yapiga magoti, Trump aomba kufanya mazungumzo na China kuhusu ushuru wa forodha
May 01, 2025 23:22Chombo kimoja cha habari cha China kimefichua kwamba, kinyume na matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump, Washington, sio Beijing, inahaha ikiomba kufanya mazungumzo na China kuhusu ushuru wa forodha.
-
Pakistan yaonya kuhusu mashambulizi ya India, yaapa kutoa majibu ya Kijeshi
May 01, 2025 09:46Msaidizi mkuu wa Waziri Mkuu Shehbaz Sharif wa Pakistan ameonya kwamba shambulio la jeshi la India linaweza kuwa karibu, akisema Pakistan iko tayari kujibu kwa nguvu na kwamba silaha zake "sio za kuonyeshwa kwenye makumbusho."
-
Trump na Gorbachev; Je, historia inajirudia huko Marekani?
May 01, 2025 03:45Gazeti la kila wiki la Marekani la Newsweek limeripoti kuhusu mbinu mahususi zinazotumiwa na Rais wa nchi hiyo, Donald Trump katika sera za kigeni.
-
Russia: Tuko tayari kufikia amani na Ukraine lakini si kama inavyotarajia Marekani
May 01, 2025 00:14Rais wa Russia Vladimir Putin yuko tayari kushiriki katika juhudi za kuleta amani nchini Ukraine, na mashauriano ya kina yanaendelea kati ya Urusi na Marekani.
-
The Guardian: Magereza ya Ugiriki yamejaa wakimbizi wa Sudan
Apr 30, 2025 03:49Gazeti la The Guardian limeripoti kuwa mamlaka za Ugiriki zinawashikilia mamia ya wahamiaji hususan kutoka Afrika chini ya sheria kali inayopiga marufuku magendo ya binadamu ambayo ilianza kutekelezwa mwaka 2014 na kuwaadhibu wanaokiuka sheria hiyo hadi kifungo cha miaka 25 jela.
-
Amnesty International: Siku 100 za kwanza za urais wa Trump zimekuwa janga kwa haki za binadamu
Apr 30, 2025 03:20Katibu Mkuu wa Amnesty International ametangaza kuwa siku 100 za kwanza za urais wa Donald Trump zimekuwa janga kwa haki za binadamu nchini Marekani na kimataifa.
-
Euro-Med: Marekani inatenda kazi kama nguvu iliyo juu ya sheria nchini Yemen
Apr 30, 2025 03:17Shirika la Kutetea Haki za Kibinadamu la Euro-Mediterania limesema kuwa Marekani inafanya kazi kama mamlaka iliyo juu ya sheria za kimataifa nchini Yemen na inakaidi kanuni za uwajibikaji wa kimataifa.
-
Katibu Mkuu wa UN: Hali ya maafa katika Ukanda wote wa Ghaza imevuka kiwango cha kutasawirika
Apr 29, 2025 23:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema: "hali ya kibinadamu katika eneo lote la Ukanda wa Ghaza imetoka kwenye hali mbaya na kuwa mbaya zaidi na kuvuka kiwango cha kuweza kutasawirika".
-
China: Kusalimu amri kutachochea zaidi uchu wa Marekani
Apr 29, 2025 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kusalimu amri na kufikia makubaliano na Marekani katika vita vya kibiashara vya Washington hakutakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuchochea zaidi uchu na uroho wa Marekani.