-
Wapakistan waandamana na kutoa kaulimbiu ya "Labaik Ya Al-Aqswa"
Apr 21, 2025 23:31Maandamano makubwa yamefanyika katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kwa ushiriki mkubwa wa matabaka mbalimbali ya wananchi na kuuunga mkono kadhia ya Palestina.
-
Indhari ya WHO kuhusu kushtadi migogoro ya kibinadamu kufuatia kusimamishwa misaada ya Marekani
Apr 21, 2025 23:03Afisa mmoja wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Jumapili Aprili 20 alitahadharisha kuwa kupungua misaada ya nje ya Marekani kunaweza kuzidisha ugumu na kutatiza pakubwa migogoro ya kibinadamu kote ulimwenguni.
-
Papa Francis afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Apr 21, 2025 07:16Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, katika makazi yake ya Casa Santa Marta, ndani ya jiji la Vatikan.
-
Mkuu wa IAEA asema ana mtazamo chanya kwa mazungumzo ya nyuklia ya Iran na Marekani
Apr 21, 2025 03:45Rafel Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA amesema katika mahojiano na gazeti la Italia la Repubblica kwamba ana matumaini kuhusu mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea kati ya Iran na Marekani.
-
Katika ujumbe wa Pasaka: Papa atoa wito wa kusitishwa mapigano huko Gaza
Apr 20, 2025 23:25Katika ujumbe wake wa Pasaka, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine
Apr 20, 2025 22:54Marco Rubio Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa, Rais Donald Trump atajiondoa katika juhudi za kupatanisha makubaliano ya amani kati ya Russia na Ukraine ndani ya siku chache zijazo isipokuwa kama kutakuwa na dalili za wazi kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.
-
Maelefu waandamana Marekani kumpinga Trump
Apr 20, 2025 09:16Maelfu ya watu waliingia mitaani kote Marekani siku ya Jumamosi kupinga hatua zilizochukuliwa hivi majuzi na Rais Donald Trump.
-
Mashambulizi ya kinyama ya US dhidi ya Yemen yamtia 'wasiwasi mkubwa' Katibu Mkuu wa UN
Apr 20, 2025 01:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ametiwa 'wasiwasi mkubwa' na mashambulizi ya hivi karibuni ya anga yaliyofanywa na Marekani katika na karibu na bandari ya Ra's Isa ya Yemen.
-
Vyombo vya habari: Putin hatetereshwi na mashinikizo ya Marekani
Apr 19, 2025 22:53Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua kuwa licha ya mapendekezo yaliyotolewa kwa Putin na mjumbe maalumu wa Trump katika masuala ya Asia Magharibi, lakini bado Putin hayuko tayari kuacha msimamo wake kuhusu Ukraine.
-
Umoja wa Ulaya una mpango wa kupunguza kufanya biashara na Marekani
Apr 19, 2025 09:42Ripoti zinaonyesha kuwa Umoja wa Ulaya unabuni mikakati ya kupambana vilivyo kwenye vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na utawala wa Marekani unaoongozwa na Donald Trump.