-
Russia: Hatukimbizani na yeyote ili kupata ahueni ya vikwazo
Apr 15, 2025 03:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema katika hali ambayo biashara kati ya nchi hiyo na Marekani imeshuhudia mdororo mkubwa kutokana na "vikwazo haramu vya Washington," lakini Moscow "haikimbizani na mtu yeyote" kwa ajili ya kuondolewa vizuizi hivyo.
-
Gazeti la US Today: Uchumi wa Marekani umekwama au unakaribia kwenye mdororo
Apr 14, 2025 23:44Gazeti la US Today la Marekani limeandika kuwa utabiri unaonyesha kuwa ukuaji uchumi wa Marekani utakabiliwa na mkwamo au unakaribia kudorora licha ya kusimamishwa kwa ushuru wa Trump.
-
Mtaalamu: Mabadiliko ya tabianchi yanaweza kudhoofisha uchumi wa dunia katika siku zijazo
Apr 14, 2025 22:56Erhan Aslanoglu, Profesa katika Chuo Kikuu cha Bilgi mjini Istanbul, Uturuki ameeleza kuwa mabadiliko ya tabianchi yatababisha kuzorota kwa uchumi wa dunia katika siku zijazo, kuathiri uzalishaji n.k.
-
Trump au mkoloni muflisi? Ukosoaji mkali wa mchumi wa Ufaransa dhidi ya sera za Marekani
Apr 14, 2025 22:52Gazeti la Ufaransa la "Le Monde" limekosoa sera za serikali ya Marekani katika kuamiliana na nchi nyingine na kuandika: "Mgogoro uliopo si wa kiuchumi tu, bali pia ni mgogoro wa uhalali na utendaji wa kisiasa, unaotokana na uozo wa muundo wa madaraka nchini Marekani."
-
Zakharova:Tunasubiri kwa hamu safari ya ujumbe wa Iran mjini Moscow
Apr 14, 2025 09:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa nchi hiyo inasubiri kwa hamu ziara ya ujumbe wa Iran mjini Moscow ili kukutana na kuzungumza na wenzao wa Russia.
-
Mgogoro unaoshadidi wa Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Apr 13, 2025 23:02Baada ya kuanza vita vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza, ripoti zinaonesha ongezeko la asilimia 140 ya uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu katika nchi za Ulaya, hasa Ujerumani — jambo ambalo limegeuka kuwa tishio kubwa kwa jamii za Ulaya.
-
Ripoti: EU inakabiliwa na mgogoro wa afya ya akili ya vijana
Apr 13, 2025 03:23Mgogoro wa afya ya akili kwa vijana katika nchi za Umoja wa Ulaya (EU) unazidi kuongezeka. Mjadala katika Bunge la Ulaya umebaini kuwa asilimia 20, ambayo ni sawa na vijana milioni 14, sasa wanahangaika na matatizo ya kisaikolojia.
-
Watetezi wa haki za binadamu wa Marekani wafungua kesi kusitisha vikwazo vya Trump dhidi ya maafisa wa ICC
Apr 12, 2025 22:51Watetezi wa haki za binadamu wa Marekani wamewasilisha kesi mahakamani ili kusimamisha amri ya utendaji ya Rais Donald Trump ya kumwekea vikwazo Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), wakisema inakiuka vipengengee vya katiba kuhusu haki zao za uhuru wa kujieleza.
-
CNN: Uvumilivu wa Wamarekani kwa Tel Aviv unaisha
Apr 12, 2025 22:50Chanzo makini kimetangaza kuwa, subira ya Wamarekani kwa vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel inakwisha.
-
Washington Post: Ushuru wa kihistoria wa Trump kwa China unaathiri uchumi wa Marekani na dunia
Apr 12, 2025 22:49Gazeti la Washington Post limeandika kuwas: Athari za ushuru wa kihistoria uliowekwa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya China zimeenea zaidi ya Marekani na kuathiri uchumi wa dunia.