-
Vita vya ushuru kati ya Marekani na China: Beijing kukabiliana na ubabe wa Washington
Apr 12, 2025 22:48Rais Xi Jin Ping wa China amesisitiza katika mazungumzo na Pedro Sanchez, Waziri Mku wa Uhispania ulazima wa kuimarisha ushirikiano kati ya China na Umoja wa Ulaya ili kukabiliana na hatua za upande moja za Marekani.
-
Polisi ya Uholanzi yakandamiza maandamano ya kuitetea Palestina
Apr 12, 2025 08:09Makabiliano yaliripuka mjini Amsterdam kati ya polisi ya Uholanzi na waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina, wakati waandamanaji hao wakipita katika kitovu cha fedha cha mji huo, wakizituhumu kampuni kubwa kwa kujinufaisha kutokana na uhusiano wao na Israel wakati huu wa vita vinavyoendelea Gaza.
-
Rais Xi wa China aonya: Marekani itajitenga yenyewe
Apr 12, 2025 07:44Rais wa China, Xi Jinping ametahadharisha kuwa, Marekani iko katika hatari ya kujitenga yenyewe kwa kushupalia vita vya ushuru na vikwazo vya biashara vya upande mmoja.
-
Jaji wa Marekani apasisha kufukuzwa mwanaharakati Mahmoud Khalil kwa sababu ya Palestina
Apr 12, 2025 03:14Jaji wa mahakama ya Louisiana nchini Marekani amepasisha uamuzi wa kundolewa nchini humo mwanaharakati Mahmoud Khalil, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Columbia na mwenye kadi ya kijani ya kumruhusu kuishi Marekani kutokana na kutumia haki yake ya kujieleza na kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Wananchi wa Pakistan na UK waandamana kulaani jinai za Israel
Apr 12, 2025 03:13Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan waliandamana jana baada ya Sala ya Ijumaa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na mauaji ya umati yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia huko Ghaza.
-
China yapuuza vikwazo vya Marekani, yanunua mafuta ya Iran kwa wingi
Apr 11, 2025 22:48Licha ya vitisho vya vikwazo kutoka kwa Marekani, uagizaji wa mafuta ya Iran na China umeongezeka kwa kasi kubwa mwezi Machi. Kwa mujibu wa mashirika ya kufuatilia meli za mafuta, China imeongeza ununuzi wake wa mafuta kutoka Iran, wakati mvutano wa kibiashara kati yake na Marekani.
-
Marekani yaendeleza mradi wa kuwatimua wanafunzi wa kimataifa wanaoiunga mkono Palestina
Apr 11, 2025 22:48Ukandamizaji na vitisho dhidi ya wanafunzi wanaounga mkono haki ya Wapalestina unaendelea katika vyuo vikuu vya Marekani, jambo ambalo limevuruga mfumo wa elimu nchini humo.
-
Kusalimu amri Trump katika sera zake za vita vya kiuchumi duniani
Apr 11, 2025 04:12Rais wa Marekani Donald Trump, amesalimu amri baada ya masoko ya hisa ya Marekani kuporomoka vibaya kutokana na sera zake mbovu za kuanzisha vita vya kiudhumi na kuzipandishia ushuru bidhaa za nchi zote duniani.
-
Vita Vyenye Faida!
Apr 10, 2025 22:39Tunaanza kwa swali rahisi na jepesi: Kwa nini Trump na Netanyahu hawataki kusitishwa mapigano? Na kwa nini Marekani imeanza duru mpya ya mashambulizi na hujuma kali dhidi ya Yemen sambamba na kuanza mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya watu wa Gaza? Hebu sasa tuangalie takwimu:
-
Ripota wa UN: Muda wa kuwanusuru Wapalestina unazidi kuyoyoma
Apr 10, 2025 22:36Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Palestina ameonya kwamba "hakuna muda mwingi uliobaki" kuwaokoa watu wa Palestina wakati huu ambapo Israel inaendeleza mashambulizi yake mtawalia katika Ukanda wa Gaza, na ukandamizaji unaoendelea katika Ukingo wa Magharibi.