-
China yaapa 'kupambana hadi mwisho' dhidi ya ushuru wa Trump
Apr 08, 2025 06:15Wizara ya Biashara ya China imeionya Marekani dhidi ya kuingia katika msururu wa vikwazo vya kibiashara vya 'kujibishana mapigo' baada ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kutishia kuweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za China zinazoingizwa nchini Marekani.
-
Ushuru wa Trump; Masoko ya hisa ya US yazidi kuporomoka
Apr 08, 2025 03:24Hisa za Marekani zimeendelea kuporomoka kwa siku ya tatu mfululizo, huku mashirika na wawekezaji wakishindwa kuelewa malengo ya mipango mipya ya ushuru ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Hitilafu za viongozi wa Ulaya kuhusu jibu la vita vya ushuru vya Trump
Apr 07, 2025 23:08Tangazo la kutoza ushuru mpya la Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya nchi 180 duniani, zikiwemo nchi za Umoja wa Ulaya, limeibua hisia tofauti kutoka kwa nchi mbalimbali duniani.
-
Maandamano ya kumpinga Trump yamesababishwa na mambo mengi
Apr 07, 2025 22:57Huku wananchi wa Marekani wakiendelea kukasirishwa na siasa za kidikteta na uingiliaji kati za Trump, Elon Musk na serikali yao, wataalamu wanasema kuna sababu nyingi zilizopelekea mamia ya maelfu ya watu wajitokeze kote Marekani na nje ya Marekani kupinga siasa za Washington.
-
Waingereza 10 wakabiliwa na tuhuma za jinai za kivita Gaza
Apr 07, 2025 08:05Kundi mashuhuri la mawakili wa haki za binadamu wa Uingereza linatazamiwa kuwasilisha malalamiko ya jinai za kivita dhidi ya Waingereza kumi waliokuwa sehemu ya wanajeshi wa Israel waliofanya mashambulizi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Muswada wa kunyakua misikiti India wapata idhini ya rais
Apr 07, 2025 03:55Rais wa India, Droupadi Murmu, ameidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Waqf—sheria tata inayotoa mwanya kwa serikali ya Narendra Modi kunyakua misikiti nchini humo.
-
Uingereza yailalamikia Israel kwa kuwakamata, kuwadhalilisha na kuwatimua wabunge wake
Apr 06, 2025 23:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameulaumu utawala wa Kizayuni Israel kwa kuwazuia kuingia, kuwakamata na kisha kuwatimua wabunge wawili wa chama tawala cha nchi hiyo cha Leba katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Shirika la kutetea haki za binadamu la US lazilaumu nchi za Magharibi kwa 'kufanya mauaji ya kimbari' huko Gaza
Apr 06, 2025 23:15Kundi la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Marekani limeikosoa Marekani, Israel, Canada na nchi nyingine za Magharibi kwa kuhusika na "mauaji ya kimbari" ya watu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Askari magereza mkubwa zaidi duniani yuko wapi? Nini kinafanyika huko Dublin, California?
Apr 06, 2025 23:14Takwimu zinaonyesha kuwa Marekani ina wafungwa wengi zaidi duniani.
-
Wafanyakazi wa Microsoft wavuruga sherehe, wasema AI ya shirika imechangia mauaji ya kimbari Gaza
Apr 06, 2025 10:10Wafanyakazi wa shirika la Microsoft la Marekani wameandamana wakati wa tukio la sherehe ya miaka 50 ya kuanzisha kampuni hiyo, wakitangaza upinzani wao dhidi ya kutumiwa teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence-AI-) ya kampuni hiyo na utawala wa Israel katika vita vyake vya mauaji ya kimbari huko Gaza.