-
Maandamano ya malaki ya watu dhidi ya Trump na Musk kote Marekani
Apr 06, 2025 09:35Jumamosi, maelfu Wamarekani walishiriki katika maandamano katika majimbo yote 50 ya Marekani, wakimpinga Rais Donald Trump na bilionea Elon Musk.
-
Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika
Apr 06, 2025 04:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa Muungano wa Nchi za Sahel barani Afrika katika nyanja za ulinzi, usalama na uchumi.
-
Albanese aongezewa muda wa kuhudumu UN licha ya vita vikali vya wakereketwa wa Israel
Apr 06, 2025 03:07Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limemuongezea Francesca Albanese muda wa kuhudumu kama Ripota Maalumu wa hali ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kwa miaka mitatu zaidi, licha ya upinzani mkali wa makundi na nchi kadhaa zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwemo Marekani.
-
Mkuu wa Wakala wa Nishati ya Atomiki wa UN: Iran haina silaha za nyuklia
Apr 06, 2025 03:04Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, amekariri madai ya kisiasa anayotoa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Tehran; na pamoja na kueleza kwamba ijapokuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina akiba kubwa ya urani iliyorutubishwa lakini haina silaha za atomiki, ametaka kuharakishwa mchakato wa kutatua masuala ya usimamizi wa mradi wake wa nyuklia.
-
Safari ya Netanyahu nchini Hungary na kupuuzwa agizo la ICC la kumkamata mhalifu huyo
Apr 05, 2025 05:34Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbán ametangaza kuwa nchi hiyo inajitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC. Tangazo hilo limetolewa saa chache baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kuwasili mjini Budapest.
-
Wanazuoni wa Kiislamu watoa fatwa; Mataifa ya Kiislamu yaunge mkono Muqawama wa Palestina
Apr 05, 2025 03:49Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa fatwa (agizo la kidini) ukizitaka nchi za Kiislamu kutoa msaada wa haraka wa kijeshi, kifedha na silaha kwa mrengo wa Muqawama wa Palestina, ili kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kupinga Uyahudi: Kisingizio cha Trump kwa ajili ya kuweka mashinikizo kwa vyuo vikuu
Apr 04, 2025 23:44Maafisa wa serikali ya Marekani wametangaza kuwa utawala wa Donald Trump utaangalia upya bajeti ya dola bilioni 9 ya Chuo Kikuu cha Harvard kufuatia madai ya chuki dhidi ya Wayahudi kwenye chuo hicho.
-
China yajibu mapigo kwa Marekani, yazitoza ushuru wa 34% bidhaa za nchi hiyo
Apr 04, 2025 23:06China imetangaza kuwa itazitoza ushuru wa ziada wa 34% bidhaa zote zinazoagizwa kutoka Marekani, hatua inayoonekana kuwa ni ya kujibu mapigo kwa ushuru wa 34% ambao Rais Donald Trump ameziwekea bidhaa zinazozalishwa na nchi hiyo yenye uchumi wa pili mkubwa zaidi duniani.
-
Wall Street Journal: Trump anahaha kutaka kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran
Apr 04, 2025 23:05Gazeti la Marekani la Wall Street Journal limewanukuu maafisa wa nchi hiyo na kuripoti kuwa, Washington inajaribu kutoa mashinikizo ili iweze kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Iran kuhusiana na kadhia ya nyuklia.
-
Canada na Ulaya zaja juu kuhusu vita vipya vya ushuru vya Trump
Apr 04, 2025 03:35Katika hotuba yake Alkhamisi jioni, Waziri Mkuu wa Canada alitangaza kumalizika fungate na uhusiano wa kina wa nchi yake na Marekani. Umoja wa Ulaya nao umesema utachukua hatua za kivitendo kukabiliana na vita hivyo vya ushuru vya Trump.