-
Matetemeko makubwa ya ardhi yaikumba Venezuela, makumi waaaga dunia
Jun 25, 2026 09:47Matetemeko mawili makubwa ya ardhi yameikumba Venezuela siku ya Jumatano, na kusababisha uharibifu mkubwa katika mji mkuu Caracas na maeneo ya jirani.
-
Umoja wa Mataifa: Watoto milioni 100 wameachishwa shule kutokana na migogoro
Jun 25, 2026 04:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watoto milioni 100 wameachishwa shule kutokana na migogoro.
-
Nembo na alama za Palestina zatawala katika mashindano ya Kombe la Dunia
Jun 25, 2026 09:32Mtandao wa Al Jazeera umeripoti uwepo mkubwa wa alama, nembo na bendera za Palestina katika mashindano ya Kombe la Dunia la Mpira wa Miguu 2026 yanayoendelea huko Marekani, Canada na Mexico.
-
Seneti yapitisha azimio la kuondoa wanajeshi wa Marekani kwenye vitani na Iran
Jun 24, 2026 03:55Seneti ya Marekani imepiga kura ya kuidhinisha azimio la kuwaondoa wanajeshi wa Marekani kwenye vita na Iran, katika hatua ambayo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni kielelezo cha pigo la kisiasa kwa Rais Donald Trump.
-
Karbala yajiandaa kwa ajili ya mamilioni ya mazuwari wa Siku ya Ashura
Jun 23, 2026 13:20Mamlaka za Iraq zinajitayarisha kwa ajili ya kupokea mamilioni ya mazuwari wa Waislamu wanaoendelea kumiminika katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya siku za Tasu'a na Ashura na kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS).
-
"Uhispania ni nchi ya Kikristo, si ya Kiislamu": Kusujudu Yamal kwachochea kampeni chafu ya mrengo wa kulia
Jun 23, 2026 13:11Dakika chache baada ya kufunga bao lake la kwanza katika Kombe la Dunia Jumapili iliyopita, mchezaji wa timu ya taifa ya Uhispania, Lamine Yamal alijikuta akikabiliwa na wimbi kubwa la mashambulizi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusujudu akimshukuru Mungu kwa bao alilofunga dhidi ya timu ya taifa ya Saudi Arabia kwenye mashindano ya Kombe la Dunia FIFA 2026.
-
Waziri Mkuu wa Italia amwambia Trump: Pilipili usioila inakuwashia nini?
Jun 22, 2026 14:09Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kujalia ya kwake mwenyewe badala na kufuatilia ya wengine baada ya kudai kwamba kiongozi huyo wa Italia anajaribu kuongeza umaarufu na viwango vyake vya kukubalika ndani ya nchi kwa kurekebisha uhusiano na Washington.
-
Mataifa ya Ulaya yakabiliwa na wimbi la joto kali
Jun 22, 2026 09:58Mataifa ya Ulaya yanakabiliwa na wimbi la joto kali huku yakilazimika kuchukua hatua kadhaa ili kuepusha maafa.
-
Imamu ashambuliwa nje ya msikiti nchini Kanada huku chuki dhidi ya Uislamu ikiongezeka
Jun 21, 2026 11:22Imamu wa Msikiti wa Jumuiya ya Waislamu wa British Columbia (BCMA), Sheikh Ebrahim, ameshambuliwa katika tukio linalohusishwa na chuki dhidi ya Uislamu.
-
Iran yawasilisha malalamiko FIFA kuhusu vikwazo vya Marekani kabla ya mechi na Ubelgiji
Jun 20, 2026 04:16Shirikisho la Soka la Iran limetangaza kuwa limewasilisha malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kufuatia kukataliwa kwa mara ya pili mfululizo kwa mipango ya maandalizi ya Timu ya Taifa ya Iran, Team Melli.