-
Havana yatahadharisha: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Cuba yatasababisha umwagaji damu
May 14, 2026 10:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba ametahadharisha kuwa: Hujuma yoyote ya kijeshi ya Marekani dhidi ya nchi hiyo itasababisha maafa ya binadamu na umwagaji damu.
-
Madaktari wa magonjwa ya akili wa Marekani: Trump anapasa kuuzuliwa mamlakani
May 14, 2026 10:11Makumi ya madaktari wa magonjwa ya akili na wataalam wakuu wa afya ya akili nchini Marekani wametia saini taarifa ambayo imemtaja Rais Donald Trump kuwa "hatari ya wazi na ya haraka" na kutaka hatua za haraka zichukuliwe ili kumuondoa madarakani.
-
Rais wa China amuonya Trump kuhusu Taiwan; usifanye makosa
May 14, 2026 09:13Rais wa China ameonya katika mazungumzo yake na mwenzake wa Marekani, Donald Trump huko Beijing kuhusu hatua zozote za Washington katika Kisiwa cha Taiwan, akisema: Kosa lolote linaweza kusababisha mzozo kati ya nchi hizo mbili.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania ampongeza Lamine Yamal kwa kusherehekea ubingwa na bendera ya Palestina
May 14, 2026 03:29Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sanchez, amesisitiza uungaji mkono wa nchi yake kwa haki ya Wapalestina ya kuanzisha nchi yao wenyewe, akitoa maoni yake kuhusu utata uliosababishwa na hatua ya nyoka wa timu ya soka ya Barcelona, Lamine Yamal, wakati timu yake ilipokuwa ikisherehekea taji la ubingwa wa ligi ya Uhispania.
-
Barua ya wanasayansi zaidi ya 1,000 yasisitiza kulindwa vyuo vikuu vya Iran dhidi mashambulizi ya Marekani na Israel
May 14, 2026 03:27Mamia ya wanachama wa Muungano wa Kimataifa wa Wanasayansi Duniani wameandika barua ya wazi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UNESCO, na Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wakitaka kulindwa taasisi za kisayansi nchini Iran, na pande vamizi yaani Marekani na Israel ziwajibishwe.
-
Putin apongeza uzinduzi wa 'kombora lenye nguvu zaidi duniani'
May 14, 2026 03:24Russia imefanya majaribio ya kombora jipya la balestiki lenye uwezo wa kupiga shabaha kutoka bara moja hadi jingine, huku Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo akilitaja kombora hilo lenye uwezo wa kutumia silaha za nyuklia kwa jina la "Sarmat" kuwa kombora "lenye nguvu zaidi" duniani.
-
China yaionya Marekani kuhusu mauzo ya silaha kwa Taiwan
May 14, 2026 03:20China kwa mara nyingine tena imepinga vikali hatua ya Marekani kuzidisha himaya na uungaji mkono wake wa kijeshi kwa Taiwan sambamba na ziara ya Rais Trump mjini Beijing.
-
Kukaribia mwisho wa kisiasa wa Starmer na kuzidi kupata nguvu Iran
May 13, 2026 18:54Pars Today - Magazeti ya Uingereza yameripoti kwa wingi habari inayosisitiza kuwa, kusambaratika kisiasa Waziri mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer kumekaribia.
-
Viongozi wa dini wafanya maandamano ya amani ya 'Moral Monday' mjini Washington kulaani 'vita visivyo vitakatifu' vya Trump
May 13, 2026 12:11Viongozi wa imani za dini walifanya maandamano ya amani ya Jumatatu ya Maadili (Moral Monday) nje ya Ikulu ya White House dhidi ya 'vita visivyo vitakatifu' katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ripoti: Watu milioni 83 watalazimika kuhama makazi yao ifikapo mwaka wa 2026
May 13, 2026 08:18Idadi ya watu waliokimbia makazi yao ndani ya nchi zao kutokana na migogoro na machafuko imeongezeka katika mwaka uliopita ikilinganishwa na watu waliokimbia makazi yao kutokana na majanga ya asili, idadi ambayo imeweka rekodi ya watu milioni 32, hasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.