-
Seneta Warner: Serikali ya Trump inachangia kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waarabu ndani ya Marekani
Jan 13, 2026 10:30Seneta wa Marekani Mark Warner amesema, nchi hiyo inakabiliwa na ongezeko la ubaguzi wa kidini na misimamo ya kufurutu mpaka inayochochewa na chuki, akiishutumu serikali ya Trump kwa kuchangia kuongezeka kwa hisia za uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na hisia za kupiga vita Waarabu.
-
Wataalamu: Uingiliaji wa kigeni wanaoutaka Wairani ni wa kusaidia kuondolewa vikwazo vya Marekani
Jan 13, 2026 10:29Maandamano yaliyoikumba Iran yamechochewa na mbinyo mkubwa wa kiuchumi; na kutokana na Wairani kuona jinai zilizofanywa na Israel na kile ambacho Marekani imekifanya nchini Venezuela, madai hasa ya wananchi hao si kutaka ufanyike uingiliaji wa kijeshi wa madola wageni dhidi ya nchi yao. Hayo yameelezwa na wataalamu kadhaa wa kikanda.
-
Medvedev 'amdhihaki' Trump: Usipoharakisha, Greenland itapiga kura ya kujiunga na Russia
Jan 13, 2026 10:29Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia Dmitry Medvedev amesema, Wagreenland wanaweza kupiga kura ya maoni ya kujiunga na Russia ikiwa Rais wa Marekani Donald Trump hatachukua hatua haraka kukinyakua kisiwa hicho cha ncha ya kaskazini, Aktiki.
-
ICJ yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Rohingya dhidi ya Myanmar
Jan 13, 2026 03:42Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) jana ilianza kusikiliza kesi kubwa dhidi ya Myanmar kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya, kabila la walio wachache kutoka Jimbo la Rakhine nchini Myanmar.
-
Russia yaangusha ndege ya kivita ya Kimarekani aina ya F‑16 ya jeshi la Ukraine
Jan 12, 2026 10:14Mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia imefanikiwa kuiangusha ndege ya kivita ya F‑16 Eagle iliyotengenezwa Marekani, ambayo ilikuwa ikitumiwa na jeshi la anga la Ukraine.
-
Russia yalaani 'ndoto ya kuchukiza' ya Uingereza ya kutaka kumteka nyara Putin
Jan 12, 2026 06:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova, amemkejeli Waziri wa Ulinzi wa Uingereza kwa kusema kwamba angependelea kumteka nyara Rais wa Russia Vladimir Putin.
-
Pakistani: Trump anapaswa kuzuia kuuliwa Wapalestina na sio kuingilia masuala ya Iran
Jan 12, 2026 03:15Waziri wa Ulinzi wa Pakistani, amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran na kumtaka Trump akomeshe kwanza jinai za Israel huko Ghaza kabla ya kufikiria kuingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Maandamano yazuka katikati ya jiji la Los Angeles kulaani mauaji ya mwanamke
Jan 11, 2026 10:56Watu wenye hasira wanaendelea kuandamana nchini Marekani ikiwa ni pamoja na mitaa ya jiji la Los Angeles kupinga hatua ya maafisa wa Trump kushambulia kiholela raia na kuua kwa uchache mtu mmoja na kujeruhi wengine wawili.
-
Denmark na mashinikizo ya Marekani yanayozidi kuongezeka ya kutaka kuinyakua Greenland
Jan 11, 2026 09:24Sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote Denmark inaandamwa na mashinikizo makali ya Marekani ya kutaka kuinyang'anya nchi hiyo kisiwa cha Greenland.
-
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan: US ilipaswa kumteka Netanyahu, si Maduro
Jan 11, 2026 06:34Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amesema "Marekani inapaswa kumteka nyara na kumshtaki katika mahakama yake yoyote ile Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu, ikiwa Washington ni rafiki halisi wa ubinadamu."