-
Russia yalaani 'ndoto ya kuchukiza' ya Uingereza ya kutaka kumteka nyara Putin
Jan 12, 2026 06:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova, amemkejeli Waziri wa Ulinzi wa Uingereza kwa kusema kwamba angependelea kumteka nyara Rais wa Russia Vladimir Putin.
-
Pakistani: Trump anapaswa kuzuia kuuliwa Wapalestina na sio kuingilia masuala ya Iran
Jan 12, 2026 03:15Waziri wa Ulinzi wa Pakistani, amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran na kumtaka Trump akomeshe kwanza jinai za Israel huko Ghaza kabla ya kufikiria kuingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Maandamano yazuka katikati ya jiji la Los Angeles kulaani mauaji ya mwanamke
Jan 11, 2026 10:56Watu wenye hasira wanaendelea kuandamana nchini Marekani ikiwa ni pamoja na mitaa ya jiji la Los Angeles kupinga hatua ya maafisa wa Trump kushambulia kiholela raia na kuua kwa uchache mtu mmoja na kujeruhi wengine wawili.
-
Denmark na mashinikizo ya Marekani yanayozidi kuongezeka ya kutaka kuinyakua Greenland
Jan 11, 2026 09:24Sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote Denmark inaandamwa na mashinikizo makali ya Marekani ya kutaka kuinyang'anya nchi hiyo kisiwa cha Greenland.
-
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan: US ilipaswa kumteka Netanyahu, si Maduro
Jan 11, 2026 06:34Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amesema "Marekani inapaswa kumteka nyara na kumshtaki katika mahakama yake yoyote ile Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu, ikiwa Washington ni rafiki halisi wa ubinadamu."
-
Maandamano makubwa yaendelea Marekani baada ya maafisa wa Trump kumuua kinyama mwanamke
Jan 11, 2026 02:33Maandamano makubwa yanaendelea katika kona zote za Marekani, kulaani sera za uhamiaji za Donald Trump, rais mbaguzi wa rangi wa nchi hiyo, hasa baada ya serikali yake kuwapongeza maafisa wake waliomuua kikatili mwanamke mmoja huko Minnesota na Portland na kujeruhi wengine wawili.
-
Kwa nini kunaibuka ufa baina ya Marekani na Ulaya?
Jan 11, 2026 02:29Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekosoa mwelekeo wa sera za kigeni za Marekani hivi sasa na kusema hivi sasa Marekani imeanza hatua kwa hatua kujiweka mbali na waitifaki wake sambamba na kukiuka sheria za kimataifa.
-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kuunga mkono Palestina
Jan 10, 2026 12:10Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul na kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Trump: Kuna ulazima wa kunyakua Greenland kwa ajili ya usalama wa taifa wa Marekani
Jan 10, 2026 05:59Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa kulitia mkononi eneo la Greenland ni jambo la dharura kwa ajili ya kulinda usalama wa taifa wa Marekani na kusema: Kunyakua Greenland yumkini kukafanyika kwa njia za amani au kwa kutumia mabavu.
-
Ukosoaji mkali zaidi kuwahi kufanywa na Ujerumani: Marekani inaigeuza dunia "pango la wezi"
Jan 10, 2026 02:32Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani amezikosoa vikali sera za nje za Rais wa Marekani Donald Trump na kuutaka ulimwengu usiruhusu nidhamu ya dunia ikageuzwa kuwa "pango la wezi".