-
Wazimu wa kijeshi wa Marekani; Bajeti ya kijeshi ya dola trilioni 1.5 kwa mwaka 2027
Jan 10, 2026 02:32Rais Donald Trump ametangaza kwamba anakusudia kuongeza bajeti ya kijeshi ya Marekani hadi dola trilioni 1.5 ifikapo mwaka 2027.
-
Marekani ina ndoto gani kuhusu mafuta ya Venezuela?
Jan 09, 2026 14:22Kufuatia operesheni ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela, swali muhimu limeibuka: Washington ina mipango gani kwa ajili ya mafuta ya nchi hiyo?
-
Russia yashambulia viwanda vya kuunda droni za kijeshi nchini Ukraine
Jan 09, 2026 11:03Jeshi la Russia, katika kujibu hujuma ya Ukraine dhidi ya makao ya Rais Vladimir Putin, limetekeleza mashambulizi kadhaa dhidi ya vituo vya kuunda ndege za kivita zisizo na rubani au droni nchini Ukraine.
-
UN yasikitishwa na Trump kuiondoa Marekani katika taasisi za kimataifa
Jan 09, 2026 06:43Umoja wa Mataifa umesema umesikitishwa na hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kutoa amri ya kuitoa nchi hiyo kwenye taasisi 66 za kimataifa, zikiwemo za UN.
-
Venezuela: Watu 200 waliuawa, kujeruhiwa wakati wa kutekwa Maduro
Jan 09, 2026 06:24Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela amesema idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la karibuni la Marekani wakati ikimteka nyara Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini imeongezeka na kupindukia watu 200.
-
Human Rights Watch: Haki ya kuandamana inahujumiwa nchini Uingereza
Jan 09, 2026 02:25Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch lilisema jana Alhamisi kwamba haki ya kuandamana nchini Uingereza inahujumiwa baada ya kupitishwa hatua za ukandamizaji ambazo zimezidisha masharti na adhabu dhidi ya maandamano ya amani.
-
Watumiaji wa X waguswa na mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya mwanamke: Hawa ndio mazimwi wa Marekani ya Trump
Jan 09, 2026 02:23Mauaji yaliyofanywa na afisa wa polisi wa Marekani dhidi ya mwanamke kijana katika jimbo la Minnesota yameibua wimbi la hasira na ukosoaji kutoka kwa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X.
-
Maandamano yatanda Marekani huku utawala wa Trump ukimtetea ajenti wa ICE aliyempiga risasi na kumuua mwanamke
Jan 08, 2026 13:32Maandamano makubwa yameenea kote nchini Marekani baada ya wakala wa Idara ya Uhamiaji na Forodha (ICE) kumpiga risasi na kumuua mwanamke huko Minneapolis, huku Makamu wa Rais, JD Vance akitetea hadharani vitendo vya shirika hilo la Shirikisho.
-
Wacolombia waandamana kulaani vikali vitisho vya kijeshi vya Trump
Jan 08, 2026 12:42Maelfu ya wananchi wa wa Colombia wamefanya maandamano nchi nzima kulaani vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yao kama vile vya kuishambulia kijeshi Venezuela.
-
Wakazi wa Greenland: Tuna wasiwasi na mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kujimilikisha kisiwa hiki
Jan 08, 2026 12:36Wakazi wa kisiwa cha Greenland wameelezea wasiwasi wao kuhusu nia ya Marekani ya kujimilikisha kisiwa hicho kikubwa katika eneo la Aktiki, huku mijadala kuhusu mamlaka ya kujitawala ardhi hiyo ikipamba moto.