-
Watumiaji wa X waguswa na mauaji ya polisi wa Marekani dhidi ya mwanamke: Hawa ndio mazimwi wa Marekani ya Trump
Jan 09, 2026 02:23Mauaji yaliyofanywa na afisa wa polisi wa Marekani dhidi ya mwanamke kijana katika jimbo la Minnesota yameibua wimbi la hasira na ukosoaji kutoka kwa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X.
-
Maandamano yatanda Marekani huku utawala wa Trump ukimtetea ajenti wa ICE aliyempiga risasi na kumuua mwanamke
Jan 08, 2026 13:32Maandamano makubwa yameenea kote nchini Marekani baada ya wakala wa Idara ya Uhamiaji na Forodha (ICE) kumpiga risasi na kumuua mwanamke huko Minneapolis, huku Makamu wa Rais, JD Vance akitetea hadharani vitendo vya shirika hilo la Shirikisho.
-
Wacolombia waandamana kulaani vikali vitisho vya kijeshi vya Trump
Jan 08, 2026 12:42Maelfu ya wananchi wa wa Colombia wamefanya maandamano nchi nzima kulaani vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yao kama vile vya kuishambulia kijeshi Venezuela.
-
Wakazi wa Greenland: Tuna wasiwasi na mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kujimilikisha kisiwa hiki
Jan 08, 2026 12:36Wakazi wa kisiwa cha Greenland wameelezea wasiwasi wao kuhusu nia ya Marekani ya kujimilikisha kisiwa hicho kikubwa katika eneo la Aktiki, huku mijadala kuhusu mamlaka ya kujitawala ardhi hiyo ikipamba moto.
-
Amri ya Trump ya kuitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa; nembo ya kiburi cha Washington
Jan 08, 2026 10:06Ikulu ya Marekani, White House, imetangaza kuwa, Donald Trump ametoa amri ya kujitoa Marekani kwenye taasisi 66 za kimataifa ambazo Washington inadai kuwa hazitumikii tena maslahi ya Marekani.
-
Russia yalaani 'uharamia' wa Marekani wa kukamata meli yake ya mafuta
Jan 08, 2026 06:28Moscow imelaani vikali kitendo cha Marekani cha kukamata meli ya mafuta yenye bendera ya Russia katika Bahari ya Atlantic, na kuitaja hatua hiyo kama ukiukaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Sheria ya Bahari.
-
White House: Chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuitwaa Greenland lipo mezani
Jan 08, 2026 03:04Ikulu ya White House ya Marekani imesema Rais Donald Trump wa nchi hiyo na washauri wake wanatathmini "machaguo mbali mbali" katika jitihada za kulitwaa eneo la Greenland, likiwemo chaguo la kutumia jeshi la nchi hiyo.
-
Mkuu wa zamani wa Sera za Nje wa EU: Ulaya iache kuifanya Marekani muitifaki wake mkuu
Jan 07, 2026 15:00Josep Borrell, mwanadiplomasia mkuu wa zamani wa Umoja wa Ulaya (EU) amesema, kambi hiyo inapaswa iache kuichukulia Marekani kama mshirika wake mkuu, huku Washington na Brussels zikiwa zinazozana hivi sasa kuhusu sera za kidijitali na udhibiti wa eneo la Greenland.
-
Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Jan 07, 2026 09:48Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
UN: Marekani kumteka nyara Maduro kunayumbisha usalama wa dunia
Jan 07, 2026 07:51Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeitolea wito jamii ya kimataifa kuwaslisha ujumbe wa wazi kwamba mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa hivi karibuni na Marekani dhidi ya Venezuela, ikiwemo kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro, kumeifanya dunia kuwa na usalama mdogo.