-
Msimamo wa Uingereza dhidi ya wahamiaji wa DRC; kwa nini London inashadidisha mashinikizo dhidi ya nchi za Kiafrika?
Dec 29, 2025 06:58Uingereza imeibua wimbi kubwa la mijibizo na malalamiko ya ndani na ya kimataifa kwa hatua yake ya kuweka vizuizi vya viza na kupitisha mageuzi makali kwa utoaji hifadhi ya ukimbizi.
-
Korea Kusini yalazimika kufunga skuli 4,000 kwa kukosekana wanafunzi
Dec 29, 2025 03:19Wizara ya Elimu ya Korea Kusini imetangaza kuwa, skuli 4,008 za msingi, za kati na sekondari zimefungwa kote nchini humo kutokana na kupungua kwa kasi idadi ya wanafunzi, huku mamia ya taasisi za elimu na mafunzo zikibaki bila ya matumizi.
-
China yaikosoa sera ya Marekani ya kulinda ubabe wake wa kijeshi kwa fitina
Dec 29, 2025 02:35China, katika ukosoaji ulio wazi dhidi ya Marekani, imetangaza kuwa Washington, kwa ajili ya kulinda ubabe wake wa kijeshi, inajihusisha na mbinu za kutia fitna, kugawa na kutawala.
-
Putin: Russia itatumia nguvu za jeshi iwapo Ukraine itakwamisha mazungumzo ya amani
Dec 28, 2025 10:28Rais wa Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa Moscow iko tayari kutumia nguvu za kijeshi kufikia malengo ya operesheni yake maalumu ya kijeshi iwapo Ukraine itaendelea kuchelewesha mazungumzo ya amani.
-
Balozi wa Iran nchini Russia na Mufti wa Moscow wasisitiza ushirikiano wa kidini
Dec 28, 2025 06:46Kazem Jalali, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amekutana na kufanya mazungumzo na Albir Hazrat Krganov, Mufti wa Moscow na Mwenyekiti wa Baraza la Kiroho la Waislamu wa Russia, na kujadili namna ya kupanua ushirikiano wa kidini.
-
Dunia yaendelea kulaani hatua ya Israel ya 'kuigawa vipande' Somalia
Dec 28, 2025 06:45Nchi za dunia na taasisi mbali mbali za kimataifa zimeendelea kulaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutambua eneo la Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.
-
WHO: Unywaji wa pombe unaua watu 800,000 kila mwaka Ulaya
Dec 28, 2025 06:35Unywaji wa pombe unasababisha vifo vya watu zaidi ya 800,000 kila mwaka barani Ulaya, na kusababisha kifo kimoja kati ya kila vifo kumi na moja, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Trump adai: Zelensky hana mpango wowote kwa ajili ya amani ya Ukraine
Dec 28, 2025 02:51Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine hana mpango wowote hadi yeye Trump aidhinishe.
-
China yaweka vikwazo kwa makampuni ya Marekani kwa sababu ya mauzo ya silaha kwa Taiwan
Dec 28, 2025 02:50China imeyawekea vikwazo makampuni 20 ya ulinzi ya Marekani na watendaji wake 10 wakuu kutokana na shehena kubwa zaidi ya mauzo ya silaha za Marekani kwa Taiwan.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Marekani inatumia 'sheria ya mwituni' badala ya diplomasia
Dec 27, 2025 10:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema kwamba Marekani inafuata "sheria ya mwituni" badalaya ya diplomasia, ikitumia nguvu na vikwazo ili kuendeleza maslahi yake.