-
UNDP: Familia 9 kati ya 10 Afghanistan zinasamehe matibabu ili kupata mlo huku zikibeba madeni
Nov 12, 2025 07:41Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetangaza kuwa, familia tisa kati ya 10 nchini Afghanistan zinakabiliwa na njaa au zinalazimika kubeba madeni huku raia wakimbizi waliorejea hivi karibuni wakijikimu kimaisha kwa tabu katika maeneo yenye hali mbaya ya umaskini mashariki na kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu
Nov 11, 2025 23:01Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.
-
Trump awakatia msaada ya chakula watu maskini nchini Marekani
Nov 11, 2025 07:21Huku mamilioni ya Wamarekani wakiendelea kupambana na ukosefu wa usalama wa chakula na uhaba wa chakula, utawala wa Trump umeamuru kukatwa kikamiifu msaada wa chakula kwa familia zenye kipato cha chini.
-
Russia: Hatutakhalifu marufuku ya kufanya majaribio ya silaha za nyuklia, isipokuwa kama US itafanya hivyo
Nov 10, 2025 02:47Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin Dmitry Peskov amesema, nchi hiyo haina nia ya kukiuka majukumu yake chini ya makubaliano ya kimataifa yanayopiga marufuku majaribio ya nyuklia, lakini itachukua hatua ya kuanza tena kufanya majaribio hayo ikiwa nchi zingine zitafanya hivyo,
-
Katz amtusi vikali Erdogan baada ya mahakama ya Uturuki kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa Israel
Nov 10, 2025 02:47Waziri wa vita wa utawala wa kizayuni wa Israel, Yisrael Katz amemshambulia kwa matusi makali Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan baada ya mahakama ya nchi hiyo kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa utawala huo ghasibu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Slovenia: Tunaunga mkono kuanzishwa taifa la Palestina; mauaji ya kimbari yametokea Gaza
Nov 09, 2025 23:48Rais Nataša Pirc Musar wa Slovenia ametangaza kuwa, nchi yake inaunga mkono kuanzishwa kwa taifa la Palestina."
-
Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?
Nov 09, 2025 22:52Sun Lei, naibu mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya mwenzake wa Marekani katika kikao cha Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa: Washington imekiuka sheria za kimataifa kwa kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Yemen na kusababisha mateso kwa raia.
-
Kususia Trump mkutano wa G20; sera za mashinikizo au mshikamano na Israel?
Nov 09, 2025 09:30Rais wa Marekani alitangaza kuwa, hakuna maafisa wa Marekani watakaohudhuria mkutano wa kila mwaka wa Kundi la G20 huko Johannesburg, Afrika Kusini.
-
Rais wa Colombia amshambulia Trump: Wewe na marafiki zako ni waongo
Nov 09, 2025 06:59Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amemshambulia Rais wa Marekani, Donald Trump, akionya kwamba kinachoendelea huko Gaza kinaweza pia kutokea Kusini mwa Dunia.
-
Mamia watoweka baada ya boti kuzama katika mpaka wa Malaysia na Thailand
Nov 09, 2025 05:56Mamlaka ya Usafiri wa Baharini ya Malaysia imetangaza kwamba takriban watu 290 bado hawajulikani walipo leo Jumapili baada ya boti iliyokuwa imebeba watu wapatao 300 kuzama karibu na mpaka wa Malaysia na Thailand, huku manusura 10 wakiokolewa na mwili mmoja kupatikana.