-
Uhispania imefuta makubaliano ya silaha ya Euro milioni 700 na Israel kutokana na mauaji ya kimbari
Sep 16, 2025 08:34Uhispania imefuta mkataba wa silaha zenye thamani ya mamilioni ya yuro na Israel kutokana na vita na mauaj ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala huo dhidi ya Gaza.
-
'Uhuru wa kujieleza'; Pentagon yawaadhibu askari wa US kwa 'kutoa maoni'
Sep 16, 2025 08:05Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) imetangaza kuwachukulia hatua za kinidhamu wanajeshi wa nchi hiyo wanaodaiwa kukejeli na kufanyia istihzai mauaji ya mfuasi sugu wa Rais Donald Trump.
-
'Komesheni Mauaji ya Kimbari', 'Simamisheni Vita Ghaza', kauli mbiu zilizotawala Tuzo ya Filamu ya Emmy
Sep 16, 2025 03:17Nyota kadhaa wasanii wa tasnia ya filamu ya Hollywood wamelitumia jukwaa la tamasha mashuhuri la filamu la Tuzo ya Emmy 2025 kupaza sauti zao juu ya hali mbaya na maafa makubwa yanayoshuhudiwa katika eneo la Ghaza, kwa kupinga vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo na kuunga mkono wito wa kuususia kisiasa na kiutamaduni utawala huo pamoja na kuuwekea vikwazo vya kibiashara.
-
Asasi za kiraia zatoa wito kwa makampuni ya Ulaya kuacha kufanya biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Sep 15, 2025 23:38Zaidi ya mashirika 80 yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamezitaka nchi na makampuni ya Ulaya kuacha kufanya biashara na vitongoji haramu vinavyojengwa na utawala ghasibu wa Israel katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania atoa wito wa Israel kufukuzwa katika michezo ya kimataifa
Sep 15, 2025 23:36Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sánchez ametoa wito wa utawala wa kizayuni wa Israel kutojumuishwa katika mashindano ya kimataifa ya michezo kutokana na vita na jinai zake huko Gaza.
-
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela aonya askari wa US: Msiwe wapumbavu
Sep 15, 2025 07:50Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amelaani kitendo cha Marekani cha kupeleka vikosi vyake vya majini kwenye visiwa vya Caribbean kwa kisingizio kupambana na ulanguzi wa dawa za kulevya, akisisitiza kuwa lengo halisi la Washington ni kuangusha serikali halali ya Rais Nicolas Maduro.
-
Russia yaionya vikali Ulaya dhidi ya kuchukua mali yake
Sep 15, 2025 07:45Serikali ya Russia imezionya vikali nchi za Ulaya kwamba itachukua hatua kali dhidi ya taifa lolote litakalochukua mali yake.
-
Kwa nini maandamano ya kupinga kuungwa mkono Israel yameongezeka barani Ulaya?
Sep 15, 2025 07:30Maelfu ya watu wamemiminika barabarani mjini Berlin kupinga sera za Ujerumani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
WHO: Vifo vilivyosababishwa na kipindupindu duniani kote katika mwaka 2024 viliongezeka kwa 50%
Sep 15, 2025 02:46Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa vifo vilivyosababishwa na ugonjwa wa kipindupindu viliongezeka kwa asilimia 50 duniani kote katika mwaka uliopita wa 2024 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.
-
New Zealand yatikiswa kwa maandamano makubwa ya historia ya kuunga mkono Gaza
Sep 15, 2025 00:32Maandamano makubwa ya kihistyoria ya kuunga mkono wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza yamefanyika nchini New Zealand.