-
Indoneasia yasisitiza kufungamana na malengo matukufu ya Palestina
Sep 27, 2025 22:58Serikali ya Indonesia imesisitiza kuwa, inafungana kikamilifu na malengo matukufu ya Palestina.
-
Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?
Sep 27, 2025 07:40Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Marekani yafuta visa ya Rais wa Colombia kwa kauli yake katika maandamano ya kuunga mkono Palestina
Sep 27, 2025 03:21Katika hatua inayoonekana kama kuunga mkono wazi wazi mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza, Marekani imetangaza kuwa itafuta visa ya Rais wa Colombia, Gustavo Petro, kutokana na kauli aliyotoa wakati wa maandamano ya kuunga mkono Wapalestina huko New York.
-
Israel yazidi kutengwa, viongozi wa dunia wasusia hotuba ya Netanyahu katika Umoja wa Mataifa
Sep 27, 2025 03:18Wajumbe wengi walitoka nje ya ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kama ishara ya kupinga hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, wakati wa kikao cha 80 cha UNGA.
-
Meya wa London Sadiq Khan amjibu Trump, amtaja kuwa mbaguzi mwenye chuki dhidi ya Uislamu’
Sep 27, 2025 03:08Meya wa jiji la London, Sadiq Khan, amemjibu kwa ukali Rais wa Marekani Donald Trump, akimtuhumu kuwa “mbaguzi wa rangi, jinsia, wanawake na mwenye chuki dhidi Uislamu” baada ya Trump kutumia hotuba yake katika Umoja wa Mataifa kumuita Khan “meya mbaya” na kudai kuwa jiji la London linaelekezwa kwenye “sheria ya Kiislamu (sharia)”.
-
Ripoti: Tony Blair apendekezwa kuwa Mkuu wa Mamlaka ya Mpito ya uendeshaji wa Ghaza baada ya vita
Sep 26, 2025 22:53Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair yuko kwenye majadiliano ya kuongoza mamlaka ya mpito katika Ukanda wa Ghaza, ikiwa ni sehemu ya mpango unaoungwa mkono na Marekani wa utawala utakaoendesha eneo hilo la ardhi ya Palestina baada ya kuhitimishwa vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa hivi sasa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Vita wa US awaita kwenye kikao cha dharura majenerali wa Pentagon walioko kila pembe ya dunia
Sep 26, 2025 22:48Waziri wa Vita wa Marekani Pete Hegseth, amewaamuru mamia ya majenerali na maadmeri wa Pentagon walioko kila pembe ya dunia kuripoti kwenye kambi ya Marine Corps iliyoko Quantico, Virginia, wiki ijayo, hatua ambayo haijawahi kushuhudiwa na ambayo imezua wasiwasi katika safu za juu za jeshi la nchi hiyo.
-
Lavrov: NATO na Umoja wa Ulaya zinapigana vita dhidi ya Russia Ukraine
Sep 26, 2025 22:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mgogoro wa Ukraine ulipangwa na nchi za Magharibi kwa sura ya vita dhidi ya Russia vinavyopiganwa na Kiev.
-
Iran yaonya kuhusu kurejea kwa askari wa kigeni Afghanistan
Sep 26, 2025 07:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema vita vya miongo miwili vilivyoendeshwa na Marekani ni chanzo cha migogoro ya sasa ya Afghanistan, huku akionya kuwa kurejea kwa askari wa kigeni nchini humo “kunatishia amani na usalama katika eneo.”
-
Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?
Sep 26, 2025 05:53Kuanza tena meneva ya kijeshi kati ya Uturuki na Misri, sambamba na kupelekewa idadi kubwa ya wanajeshi wa Misri katika Peninsula ya Sinai, kumeutia wasiwasi utawala wa Kizayuni.