-
Sarkozy ahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa uhalifu
Sep 25, 2025 22:59Mahakama ya Paris jana Alhamisi ilimhukumu rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy kifungo cha miaka mitano jela baada ya kumpata na hatia ya njama ya uhalifu katika kesi aliyotuhumiwa kwamba kiongozi zamani wa Libya mwendazake Muammar Gaddafi alisaidia kufadhili kampeni za Sarkozy katika uchaguzi wa rais mwaka 2007.
-
Sababu zilizoifanya Colombia itoe wito wa aina yake wa kuundwa jeshi la kimataifa la kuikomboa Palestina
Sep 25, 2025 22:56Colombia imetoa wito wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Vita vya Ukraine na faida nono kwa mashirika ya silaha ya Marekani
Sep 25, 2025 03:40Vita vya Ukraine, vilivyoanza mwishoni mwa mwezi Februari 2022, vimeleta mabadiliko makubwa ya kijiografia na kisiasa ulimwenguni.
-
Politico: Trump amewaambia viongozi wa nchi za Kiislamu hatairuhusu Israel iutwae Ukingo wa Magharibi
Sep 25, 2025 03:11Tovuti ya habari ya Politico imeripoti kuwa, katika mkutano wa faragha aliofanya Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wa nchi kadhaa za Kiarabu na Kiislamu, rais huyo wa Marekani aliwaahidi viongozi hao kwamba, hatamruhusu waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu autwae kikamilifu Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Trump azishambulia China na India kwa kuziita 'wafadhili wakuu' wa vita vya Ukraine
Sep 25, 2025 00:42Rais wa Marekani Donald Trump amezituhumu India na China kuwa "zinafadhili kifedha" vita vya Ukraine kupitia uagizaji wa nishati kutoka Russia. Trump ametoa shutuma hizo katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York.
-
Mjumbe maalumu wa US Syria: Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama
Sep 25, 2025 00:41Mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Syria Tom Barrack amedai kuwa utawala wa kizayuni wa Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama.
-
Amiri wa Qatar aitaja Israel kuwa ‘utawala wa kihuni’
Sep 24, 2025 08:38Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, amelaani vikali vitendo vya Israel, huku akiutaja utawala huo kuwa wa "kihuni” kufuatia shambulio la karibuni lililolenga ujumbe wa mazungumzo wa Hamas mjini Doha.
-
Rais wa Colombia atoa wito wa kuundwa ‘jeshi la kimataifa’ kuikomboa Palestina na kukomesha mauaji ya halaiki Gaza
Sep 24, 2025 08:36Rais wa Colombia, Gustavo Petro, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kijeshi nchini Palestina, akisisitiza haja ya kuundwa kwa jeshi la kimataifa kwa ajili ya “kuikomboa Palestina” na kupinga “udikteta na utawala wa kiimla” unaoenezwa na Marekani na NATO.
-
Kwa nini Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi kutumia bidhaa za ndani?
Sep 24, 2025 07:38Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi wa nchi hiyo kuacha kutumia bidhaa kutoka nje na badala yake watumie bidhaa za ndani kufuatia kushtadi mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Marekani.
-
Guterres afungua mkutano wa UN kwa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel Ghaza
Sep 24, 2025 02:30Mkutano Mkuu wa 80 wa Umoja wa Mataifa umefunguliwa rasmi kwa hotuba ya Katibu Mkuu Antonio Guterres. Katika hotuba yake hiyo Guterres amesema kuwa, hati ya Umoja wa Mataifa na sheria zake ziko chini ya mashinikizo na kusisitiza kwamba ni lazima tuchague kati ya ulimwengu uliojaa machafuko au ulimwengu uliojaa utulivu na amani.