-
Mamilioni waadhimisha kumbukumbu za maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) duniani kote
Oct 30, 2018 14:48Mamilioni ya Waislamu wafuasi wa Ahlul-Bayti wa Mtume (saw) wameshiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Hussein (as), katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Vyombo vya habari vya Magharibi vyakiri ukubwa wa Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 30, 2018 13:44Licha ya harakati za duru za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari zinazohusiana na maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), ukubwa wa tukio hilo haukuviachia vyombo vya habari vya Magharibi, chaguo jingine isipokuwa kukiri kuhusu ukubwa huo muhimu wa kihistoria.
-
Zarif: Hakuna dhalimu yeyote awezaye kuyazima mapambano ya kupigania uadilifu
Oct 30, 2018 08:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Hakuna dhalimu yeyote awezaye katu kuyazima mapambano ya kupigania uadilifu.
-
Wafanyaziara milioni 15 wamefika Karbala kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 30, 2018 07:26Baraza la Mkoa wa Karbala nchini Iraq limetangza kuwa limesajili wafanyaziara milioni 15 walioingia nchini humo kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein (as) huku idadi ya mazuwari hao ikiwa inaendelea kuongezeka.
-
Siku moja kabla ya Arubaini ya Imam Hussein (as) zaidi ya wafanyaziara milioni 10 wameshazuru Karbala
Oct 29, 2018 08:15Naibu Mkuu wa Mkoa wa Karbala nchini Iraq amesema: Hadi sasa zaidi ya wafanyaziara milioni 10 wamewasili mkoani humo kwa lengo la kushiriki Arubaini ya Imam Hussein (as).