-
Kiongozi Muadhamu alionya Baraza la Congress la Marekani
Nov 27, 2016 16:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelionya Baraza la Congress la Marekani akisisitiza kuwa, hatua yoyote ya kuvirudisha vikwazo ambavyo muda wake umeisha ni uwekaji wa vikwazo vipya na ni uvunjaji wa makubaliano.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kufuatia kuuawa shahidi wafanyaziara Iraq na ajali ya treni Iran
Nov 26, 2016 16:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa makundi yatendayo jinai ya kitakfiri, kwa mara nyingine yamedhihirisha kinyongo chao kiuoga na kwa njia ya kuogofya na hivyo kuonyesha uso wao khabithi na wa kishetani kwa watu wote.