-
Magaidi wa Al Qaeda walilewa kabla ya kuvamia Kodivaa
Mar 15, 2016 15:17Magaidi wa Al Qaeda waliingia katika baa moja na kunywa pombe kabla ya kuanza kufyatua risasi kiholela katika eneo la kitalii kwenye ufukwe wa bahari nchini Ivory Coast ambapo watu wasiopungua 18 waliuawa katika mji wa Grand-Bassam.