-
Nchi za Afrika zaanzisha mpango wa kuwalinda Albino
Jun 21, 2016 07:52Kongamano la siku tatu la kikanda kuhusu ulemavu wa ngozi barani Afrika limehitimishwa nchini Tanzania ambapo mpango wa kwanza kabisa wa utekelezaji umeanzishwa.
-
Watu wenye ulemavu wa ngozi Malawi katika hatari ya kuangamizwa kikamilifu
May 01, 2016 14:26Watu wenye ulemavu wa ngozi au albino nchini Malawi wanakabiliwa na hatari ya kuangamizwa kikamilifu kutokana na kuongezeka vitendo vya hujuma dhidi yao nchini humo.