-
Maadhimisho ya "Alfajiri Kumi" ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaanza rasmi nchini Iran
Feb 01, 2020 08:14Leo Jumamosi, tarehe 12 Bahman mwaka 1398 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe Mosi Februari 2020 Miladia yameanza rasmi maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Waandishi 300 wa kigeni wanatarajiwa kuripoti sherehe za Mapinduzi ya Kiislamu kesho Jumatatu
Feb 10, 2019 07:46Kaimu wa Mkuu wa Baraza la Uratibu la Taasisi ya Tablighi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mbali na vyombo vya habari vya ndani, waandishi wa habari 300 wa vyombo vya kigeni nao watashiriki kuakisi tukio muhimu sana katika historia ya Iran la maadhimisho ya Bahman 22, siku zinapofikia kileleni sherehe za Mapinduzi ya Kiislamu.
-
'Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamesimama imara'
Feb 02, 2019 02:48Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameashiria njama za maadui dhidi ya Iran na kusema: "Pamoja na kuwepo uhasama wote huo, lakini Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama imara na yanaendelea kupata nguvu na izza."
-
Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran kufanyika Aprili
Feb 18, 2018 07:37Tamasha la Kimataifa la Filamu la Fajr la Iran (FIFF) limepangwa kufanyika chini ya miezi miwili ijayo huku idadi kubwa ya filamu ikiwania kushiriki katika tamasha hilo.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; uungaji mkono kwa mapambao ya Kiislamu na Quds Tukufu
Feb 10, 2018 13:17Hii leo ulimwengu wa Kiislamu ungali una madonda makongwe ambayo yamesababishwa na madola ya kiistikbari kwa Umma wa Kiislamu na muhimu zaidi kati ya madonda hayo ni suala la Palestina na kuendelea siasa za utawala haramu wa Israel za kughusubu ardhi za Waislamu.
-
Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 10, 2018 07:57Mufti Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Kisuni nchini Iraq ameyasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kueleza kuwa, yamekuwa na taathira chanya katika Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)
Feb 09, 2018 12:55Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yana sifa za kipekee. Umoja wa kitaifa na utukufu wa Uislamu ambayo ni misingi muhimu ya dola la kimataifa la Imam Mahdi (af) ni baadhi ya sifa za mapinduzi hayo.
-
Rais Rouhani: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa
Feb 05, 2018 16:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiisamu ya Iran yaliyotokea 1979 ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa.
-
Mchango wa uongozi bora katika ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran
Feb 01, 2018 08:06Siku kumi za kabla ya kupata ushindi kamili Mapinduzi Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran maarufu hapa nchini kwa jina la Alfajiri Kumi zinakumbusha nyakati tamu na chungu kwa taifa la Iran ambalo hatimaye lilifanikiwa kufanya mapinduzi makubwa zaidi katika karne ya ishirini kutokana na mshikamano wao na uongozi shupavu wa hayati Imam Ruhullah Khomeini.
-
Wairani waanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 01, 2018 07:57Wananchi wa Iran wameanza sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran ambayo yaliupindua utawala wa kitaghuti wa Kipahlavi uliokuwa unaungwa mkono kila upande na Marekani.