-
Brigedia Jenerali Rasool: Daesh inadhibiti chini ya 7% ya ardhi ya Iraq
Apr 11, 2017 23:22Jeshi la Iraq limesema idadi ya ngome zilizokuwa zikidhibitiwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini humo imedidimia kutoka asilimia 40 hadi chini ya asilimia 7 katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
-
Jeshi la Iraq ladhibiti kituo cha uongozi cha Daesh magharibi mwa Mosul
Mar 24, 2017 11:38Jeshi la Iraq limefanikiwa kukidhibiti kikamilifu kituo cha uongozi cha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katikati mwa mji wa Mosul, wakati huu ambapo vikosi vya jeshi la nchi hiyo vikipambana vikali kuukomboa mji huo wa pili kwa ukubwa na kuwafukuzia mbali matakfiri hao kutoka katika ngome yao hiyo ya mwisho nchini Iraq.
-
Hatimaye jeshi la Iraq lakomboa uwanja wa ndege wa Mosul, Daesh wakaribia kushindwa rasmi
Feb 23, 2017 12:22Sambamba na kuanza hatua ya pili ya operesheni za kuyasafisha maeneo ya magharibi mwa Mosul, kaskazini mwa Iraq, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kudhibiti uwanja wa ndege wa mji huo ambao ulikuwa ngome kuu ya magaidi wakufurishaji wa Daesh (ISIS.)
-
Hashdu Shaabi yakomboa vijiji 2, yaokoa familia elfu 2 Mosul, Iraq
Nov 30, 2016 11:34Kikosi cha kujitolewa cha Hashdu Shaabi kinachoshirikiana na jeshi la Iraq katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na la wakufurishaji la Daesh kimefanikiwa kukomboa vijiji viwili vya mji huo sambamba na kuokoa familia zaidi ya elfu mbili zilizokuwa zikiishi kwenye mazingira magumu sana katika vijiji hivyo.
-
Wakazi wa mji wa Mosul waungana na jeshi la Iraq kuwafurusha magaidi wa Daesh
Oct 24, 2016 23:27Msemaji wa harakati ya wananchi ya Hashdu ash-Sha'abi nchini Iraq amesema kuwa, wakazi wa mji wa Mosul wameungana bega kwa bega na jeshi la nchi hiyo kwa ajili ya kuwafurusha magaidi wa Kiwahabi wa Daesh kutoka mji huo.
-
Wanajeshi wa Iraq waikaribia ngome kuu ya Daesh, Mosul
Jul 14, 2016 23:42Wanajeshi wa Iraq wamekaribia kufika kwenye mji wa Mosul ambao ni ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh yaani ISIS, katika juhudi za Baghdad za kuwafurusha magaidi hao katika kona zote za nchi hiyo.