-
Austria kupiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa hijabu
Jan 07, 2017 03:51Waziri wa Mambo ya Nje na Utangamano wa Austria ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la hijabu linalovaliwa na wanawake Waislamu katika maeneo ya umma nchini humo.
-
Kuahirishwa safari ya Rais wa Iran nchini Austria
Mar 30, 2016 01:42Imeelezwa kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafanyika katika muda muafaka kufuatia kufikiwa makubaliano kati ya pande mbili na ili kuwezesha kufanyika uratibu zaidi.
-
Rais wa Austria: Iran ni nchi kubwa katika Mashariki ya Kati
Mar 29, 2016 09:48Rais Heinz Fischer wa Austria amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi kubwa katika eneo lenye mivutano la Mashariki ya Kati.