-
Mamia ya wakimbizi DRC wanahitajia misaada ya dharura
Feb 21, 2016 12:32Zaidi ya wakimbizi elfu moja wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanahitajia misaada ya haraka ya dharura.
Zaidi ya wakimbizi elfu moja wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanahitajia misaada ya haraka ya dharura.