-
Maelfu waandamana Brazil kumuunga mkono Rais Rousseff aliyeuzuliwa
Sep 05, 2016 02:54Maelfu ya watu wameandamana nchini Brazil kumuunga mkono rais aliyeuzuliwa Bi. Dilma Rousseff huku wakibainisha upinzani wao kwa serikali mpya inayoongozwa na Michel Temer.