-
Mwito wa Wademokrati wa kutaka kuangaliwa upya uhusiano wa Marekani na Saudia
Apr 16, 2022 02:22Wakuu wa Kamati za Masuala ya Kigeni na ya Ujasusi za Baraza la Wawakilishi la Marekani pamoja na zaidi ya wabunge 20 wa chama tawala cha Democrat wameitaka serikali ya Joe Biden kuchukua misimamo mikali dhidi ya Saudi Arabia hasa baada ya Riyadh kukataa kushirikiana na Washington dhidi ya Russia.
-
Mpango wa wawakilishi wa Kongresi ya Marekani wa kuzuia kuuziwa silaha mpya Israel
May 21, 2021 02:14Kuendelea himaya na uungaji mkono wa kila upande wa Marekani kwa utawala wa dhalimu wa Kizayuni wa Israel licha ya jinai zote unazotenda dhidi ya wananchi wa Palestina hususan mashambulio ya anga na mizinga dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuua wakazi wake, ni jambo ambalo limekabiliwa na ukosoaji mkali hata ndani ya Marekani kwenyewe
-
Ombi la wenyeviti wa kamati za Bunge la Marekani la kuchunguzwa ukandamizaji dhidi ya waandamanaji
Jul 21, 2020 10:42Kuendelea maandamano ya upinzani nchini Marekani kwa takribani miezi miwili sasa ya kulalamikia unyama uliofanywa na askari polisi mzungu wa mji wa Minneapolis katika jimbo la Minnesota wa kumuua kikatili raia mweusi George Floyd mnamo tarehe 25 Mei, kumemfanya rais wa nchi hiyo Donald Trump atumie vikosi vya usalama visivyojulikana kwa ajili ya kuwakandamiza waandamanaji.
-
Bunge la Marekani lapitisha sheria ya kumuwekea Trump vizingiti vya kuanzisha vita dhidi ya Iran
Mar 12, 2020 11:08Hatua za rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa, na pia hatua za jinai zake za kigaidi kama ile amri aliyotoa ya kuuawa Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu mnamo Januari 2020 ni hatua ambazo zimeibua wasiwasi mkubwa katika Bunge la Marekani (Congress).
-
Madai ya Trump kuhusu mchakato wa kupunguza askari wa Marekani walioko Iraq
Jan 31, 2020 07:05Baada ya kupita siku mbili tu tangu askari wa Marekani walipomuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la IRGC na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine walioandamana nao katika uwanja wa ndege wa Baghdad, tarehe 5 Januari, bunge la Iraq lilipitisha muswada wa kuwatimua askari wa muungano vamizi eti wa kupambana na Daesh (ISIS) wakiwemo askari wa Marekani.
-
Azimio la Kongresi ya Marekani dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi
Dec 09, 2019 02:41Serikali ya rais Donald Trump imekuwa ikitekeleza hatua zisizo za kawaida katika uwanja wa kuunga mkono vitendo vilivyo kinyume cha sheria vya utawala haramu wa Israel dhidi ya taifa la Palestina.
-
Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria
Oct 18, 2019 03:23Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuondoa wanajeshi wa Marekani kaskazini mwa Syria, jambo ambalo limewezesha Uturuki kushambulia eneo hilo, imekosolewa ndani ya Marekani.
-
Juhudi mpya za Kongresi za kutaka kuzuia himaya ya Trump kwa Saudia na washirika wake, Yemen
Sep 04, 2019 04:30Marekani imekuwa na nafasi kubwa sana katika vita na mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake huko Yemen kutokana na misaada ya himaya yake ya kilojistiki, kipelelezi na zana za kivita kwa muungano huo. Suala hilo sambamba na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kifalme wa Saudia, vimezidisha malalamiko na upinzani dhidi ya misaada na ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Saudia na washiriki wake katika vita vya Yemen.
-
Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati.
Jul 20, 2019 02:26Katika juhudi za kuwaunga mkono washirika wake wa kieneo na kunufaika kifedha na mauzo ya silaha, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza hali ya hatari bandia ya kitaifa kwa lengo la kukwepa vikwazo vya kisheria vya bunge la nchi hiyo na hivyo kupata mwanya wa kuziuzia Saudia, Imarati na Jordan silaha za thamani ya dola bilioni 8.
-
Kushadidi mzozo baina ya Wademocrat na Trump na uwezekano wa kuitwa bungeni ajieleze
Jan 05, 2019 06:36Tangu alipoingia madarakani nchini Marekani hadi hivi sasa, rais wa nchi hiyo Donald Trump, amekuwa akifanya kila njia kulishinikiza Baraza la Congress libadilishe sheria za nchi kwa manufaa yake.