-
Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi
Apr 04, 2020 06:56Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.
-
Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe
Jan 14, 2020 08:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuundwa jopo maalumu la mahakama la kuchunguza ajali ya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176 siku chache zilizopita hapa jijini Tehran, sanjari na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa ajali hiyo.
-
Takwa la asasi za kiraia za Canada la kusitishwa uuzaji silaha wa serikali ya Ottawa kwa Saudi Arabia
Aug 10, 2019 03:32Saudi Arabia ni mnunuzi mkubwa kabisa wa silaha za madola ya Magharibi na kwa mwaka hutumia mamilioni ya dola kwa ajili ya kununua silaha.
-
Jumuiya za kiraia Canada zaitaka serikali ya Ottawa iache kuiuzia silaha Saudi Arabia
Aug 08, 2019 03:26Jumuiya 12 za kiraia nchini Canada zinamshinikiza Waziri Mkuu wa nchi hiyo Justin Trudeau ili asimamishe kuuuzia silaha utawala wa Saudi Arabia unaofanya jinai kila leo dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Matamshi aliyotoa waziri wa Misri Canada kwamba wakosoaji wa serikali 'watakatwa vichwa' yazusha taharuki
Jul 25, 2019 02:26Matamshi yaliyotolewa nchini Canada na waziri mmoja wa serikali ya Misri ya kuwatisha wapinzani wa serikali ya rais Abdel Fattah el Sisi wa nchi hiyo yamezusha taharuki miongoni mwa wananchi.
-
Waislamu Canada walaani matamshi ya waziri wa elimu wa Quebec ya kupiga vita Hijabu
Feb 08, 2019 04:32Baraza la Taifa la Waislamu wa Canada limelaani matamshi ya waziri wa elimu na malezi wa jimbo la Quebec dhidi ya vazi la stara na staha la Kiislamu la Hijabu.
-
Canada yapinga kuundwa 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'
Feb 01, 2019 23:16Waziri Mkuu wa mkoa wa Quebec nchini Canada amepinga mwito wa kuundwa siku ya kitaifa ya kulaani jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
-
Canada yawawekea vikwazo raia 17 wa Saudia kwa kuhusika na mauji ya Khashoggi
Nov 30, 2018 00:59Serikali ya Canada imewawekea vikwazo raia 17 wa Saudi Arabia kwa kuhusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiuokosoa utawala wa hivi sasa wa nchi hiyo.
-
Waislamu Canada wataka 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'
Nov 23, 2018 04:22Waislamu nchini Canada wamesema jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu zimeshtadi huku wakiitaka serikali izindue mpango mkakati wa kuziunganisha jamii za nchi hiyo.
-
Wanawake Waislamu Quebec, Canada kupigwa marufuku kuvaa Hijabu
Oct 05, 2018 12:04Serikali ya Waziri Mkuu mteule wa jimbo la Quebec nchini Canada imeazimia kuwapiga marufuku wanawake Waislamu wa eneo hilo kuvaa hijabu ya aina yeyote ikiwemo mitandio ya kichwani.