Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Canada

  • Canada yamnyang'anya uraia wa fakhari Aung San Suu Kyi kwa jinai za serikali ya Myanmar

    Canada yamnyang'anya uraia wa fakhari Aung San Suu Kyi kwa jinai za serikali ya Myanmar

    Sep 28, 2018 04:11

    Wawakilishi wa bunge la Canada baada ya kupita mwaka mmoja tangu kulipozuka jinai za kutisha za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya, hatimaye wamemnyang'anya uraia wa fakhari kiongozi wa chama tawala wa nchi hiyo, Aung San Suu Kyi.

  • Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani

    Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani

    Sep 03, 2018 22:04

    Maamuzi ya upande mmoja ya kisiasa na kimabavu ya Marekani katika kipindi cha utawala wa rais Donald Trump yanaendelea kukabiliwa na upinzani kote duniani.

  • Canada yaikosoa tena Saudia kwa kumhukumu kifo mwanaharakati wa haki za binadamu

    Canada yaikosoa tena Saudia kwa kumhukumu kifo mwanaharakati wa haki za binadamu

    Aug 23, 2018 03:23

    Serikali ya Canada imekosoa tena ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Saudi Arabia hususan hatua ya utawala huo wa kifalme ya kumhukumu kifo mwanaharakati mwanamke wa haki za binadamu.

  • Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka

    Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka

    Aug 12, 2018 10:18

    Waislamu nchini Canada wamefanya maandamano wakipinga siasa za utawala wa kifalme wa Saudi Arabia za kuwazuia kwenda kutekeleza ibada ya Hija katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.

  • Saudia yasimamisha safari za ndege kwenda Canada na mabadilishano ya wanafunzi

    Saudia yasimamisha safari za ndege kwenda Canada na mabadilishano ya wanafunzi

    Aug 07, 2018 03:50

    Kufuatia hatua ya serikali ya Canada kuukosoa utawala wa Aal-Saudia kutokana na utawala huo kuzidisha kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa haki za binadamu nchini humo, shirika la ndege la Saudia limetangaza kusimamisha safari zake kwenda au kutokka Canada.

  • Ansarullah yalaani kufukuzwa balozi wa Canada nchini Saudia, yamkaribisha Yemen

    Ansarullah yalaani kufukuzwa balozi wa Canada nchini Saudia, yamkaribisha Yemen

    Aug 06, 2018 03:36

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani kitendo cha Saudi Arabia cha kumfukuza balozi wa Canada mjini Riyadh na kuitaka Ottawa kufungua ubalozi wake San'a, mji mkuu wa Yemen.

  • Joto kali laua makumi ya watu mashariki mwa Canada

    Joto kali laua makumi ya watu mashariki mwa Canada

    Jul 06, 2018 22:12

    Wimbi la joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa limesababisha vifo vya watu 33 katika mkoa wa Quebec mashariki mwa Canada.

  • Iran: Hatua ya Bunge la Canada dhidi yetu ni kosa la kistratijia

    Iran: Hatua ya Bunge la Canada dhidi yetu ni kosa la kistratijia

    Jun 13, 2018 11:11

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bahram Qassemi ametoa radiamali kufuatia muswada wa kutaka kuweka vizingiti kwenye mahusiano ya nchi hii katika Bunge la Canada na kusema kuwa muswada huo ni kosa kubwa la kistratijia.

  • Burundi yalaani kitendo cha serikali ya Canada kuwazuia Warundi kushiriki kura ya maoni

    Burundi yalaani kitendo cha serikali ya Canada kuwazuia Warundi kushiriki kura ya maoni

    May 17, 2018 23:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Burundi imekosoa vikali hatua ya viongozi wa Canada ya kuwazuia Warundi wanaoishi katika nchi hiyo kushiriki katika kura ya maoni ya jana na kusema kuwa, kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.

  • Kikao cha G7 na hitilafu za ndani

    Kikao cha G7 na hitilafu za ndani

    Apr 24, 2018 01:52

    Kikao cha siku mbili cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa G7 kimemaliza kazi zake huko Toronto nchini Canada.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS