Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Russia and China: Shughuli za kibaolojia za Marekani zimeuweka hatarini usalama wa dunia

    Russia and China: Shughuli za kibaolojia za Marekani zimeuweka hatarini usalama wa dunia

    Oct 08, 2021 23:58

    Russia na China zimetoa taarifa ya pamoja zikikosoa shughuli za vituo vya kibaolojia vya Marekani na kusema vinauweka hatarini usalama wa dunia.

  • Shirika la ujasusi la Marekani (CIA) laanzisha kituo maalumu kwa ajili ya kukabiliana na China

    Shirika la ujasusi la Marekani (CIA) laanzisha kituo maalumu kwa ajili ya kukabiliana na China

    Oct 08, 2021 03:59

    Kitengo cha habari cha Shirika la Ujasusi la Marekani CIA kimeripoti kuwa, shirika hilo limeanzisha kituo maalumu kwa lengo la kukabiliana na kile lilichokiita "changamoto za dunia" zinazosababishwa na China.

  • Biden akiri kuhusu kubaki nyuma uchumi wa Marekani; dalili ya kuporomoka nchi hiyo

    Biden akiri kuhusu kubaki nyuma uchumi wa Marekani; dalili ya kuporomoka nchi hiyo

    Oct 07, 2021 21:09

    Akizungumza karibuni katika jimbo la Michigan, Rais Joe Biden wa Marekani amesema nchi nyingine za dunia ziko mbioni kuishinda Marekani katika nyanja nyingi. Amesema licha ya kuwa Marekani bado inauongoza ulimwengu kiuchumi lakini inaendelea kupoteza taratibu nafasi yake hiyo.

  • Putin asisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja kati ya Russia na China

    Putin asisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja kati ya Russia na China

    Oct 01, 2021 09:46

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja baina ya nchi yake na China.

  • Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Sep 19, 2021 02:46

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani amedai kwamba kwa sasa Russia ni tishio kubwa kwa usalama wa nchi hiyo na Ulaya kuliko China.

  • Uanachama kamili na wa kudumu wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai

    Uanachama kamili na wa kudumu wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai

    Sep 18, 2021 07:43

    Hatua ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) ya kuikubali Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama mwanachama kamili na wa kudumu ndani ya jumuiya hiyo kumetajwa kuwa ni azimio muhimu zaidi la jumuiya hiyo katika miaka ya karibuni. Huko nyuma Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai iliafiki uanachama kamili na wa kudumu wa India na Pakistan.

  • China yalaani muungano mpya wa kijeshi wa pande tatu za Marekani, Uingereza na Australia

    China yalaani muungano mpya wa kijeshi wa pande tatu za Marekani, Uingereza na Australia

    Sep 17, 2021 03:24

    China imelaani ushirika mpya wa usalama wa kihistoria kati ya Marekani, Uingereza na Australia. Serikali ya Beijing imesema muungano huo una kile ilichokitaja kama maono yasiyofaa.

  • Mtaalamu wa jeni: Kuna uwezekano COVID-19 haikuanzia Wuhan, China

    Mtaalamu wa jeni: Kuna uwezekano COVID-19 haikuanzia Wuhan, China

    Sep 14, 2021 10:33

    Mtaalamu wa jeni amesema, kuna uwezekano kwamba ugonjwa wa COVID-19 haukuanzia katika mji wa Wuhan huko China.

  • Ripoti ya mashirika ya upelelezi ya Marekani kuhusu chanzo cha kirusi cha corona

    Ripoti ya mashirika ya upelelezi ya Marekani kuhusu chanzo cha kirusi cha corona

    Aug 28, 2021 22:21

    Mashirika ya upelelezi na ujasusi ya Marekan Ijumaa ya jana yalitangaza muhtasari wa uchunguzi wake kuhusu chanzo cha kirusi cha corona na ugonjwa wa COVID-19 na kutangaza kuwa, maafisa wa serikali ya China hwakuwa na habari yoyote kuhusu kirusi cha corona kabla ya kusambaa kwake duniani mwishoni mwa mwaka 2019.

  • Iran, China na Russia zina maslahi na dukuduku zinazofanana kuhusu masuala ya kimataifa

    Iran, China na Russia zina maslahi na dukuduku zinazofanana kuhusu masuala ya kimataifa

    Aug 19, 2021 04:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na wenzake wa Russia na China akisisitiza kuwa suala la kustawishwa na kuimarishwa uhusiano baina ya Tehran na nchi hizo mbili ni miongoni mwa vipaumbele vya serikali mpya ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS