-
China imepinga wito wa WHO wa kufanyika uchunguzi zaidi kuhusu chanzo cha corona
Aug 13, 2021 19:30China imepinga wito wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa kutaka kufanyike uchunguzi mpya kuhusu chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19.
-
Russia inapanga mazoezi ya kijeshi na China, Belarus
Aug 08, 2021 03:08Russia imepanga kufanya mazoezi mawili ya kijeshi mfululizo kwa kushirikiana na China na Belarus katika mipaka yake ya mashariki na magharibi ikijumuisha makumi ya maelfu ya wanajeshi wakati huu nchi hizo tatu zinahisi kuwa zinakabiliwa na tishio kutoka Marekani na muungano wa kijeshi wa NATO.
-
China na Russia zaanza mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Ningxia
Aug 07, 2021 03:21China na Russia zimeanza mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Ningxia.
-
WHO yazitaka nchi zote kushirikiana ili kubaini chanzo cha virusi vya corona
Jul 24, 2021 04:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito kwa nchi zote kushirikiana ili kujua asili na chanzo cha virusi vya Corona, na kusisitiza kuwa, jambo hilo halihusiani na siasa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China: Kuasisiwa nchi huru ya Palestina ni haki ya kisheria ya Wapalestina
Jul 19, 2021 09:02Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema kuwa, kuundwa nchi huru ya Palestina ni haki ya kisheria ya Wapalestina na jambo hilo halipasi kuakhirishwa.
-
China yaishambulia kwa maneno Marekani kwa kuchochea machafuko Afghanistan
Jul 15, 2021 23:35Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametoa maneno makali dhidi ya Marekani na kusema kuwa, viongozi wa Washington ndio wanaopaswa kubeba lawama ya mgogoro wa hivi sasa wa Afghanistan.
-
Russia na China kushirikiana zaidi kistratejia kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa Magharibi
Jul 12, 2021 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameitaka Russia iimarishe zaidi ushirikiano wake wa kistratejia na nchi hiyo ili nchi hizo mbili ziweze kukabiliana na ubeberu wa Magharibi.
-
Hilton kujenga hoteli kwenye magofu ya msikiti wa Waislamu wa Uyghur, Xinjiang; CAIR yalaani
Jul 07, 2021 01:25Mpango wa ujenzi wa hoteli ya kifahari ya Hilton kwenye eneo la msikiti wa Waislamu uliobomolewa katika mkoani Xinjiang nchini China umewakasirisha Waislamu na kuzusha malalamiko mengi katika nchi mbalimbali.
-
Sisitizo la viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na China la udharura wa kuhuishwa JCPOA
Jul 06, 2021 21:51Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, na Rais Xi Jinping wa China wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kutoa wito kwa pande zinazofanya mazungumzo huko Vienna kwa ajili ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutumia vyema fursa iliyopo ya "Dirisha la Fursa" kwa ajili ya kufikia makubaliano kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Visingizio vinavyotumiwa na Marekani kuzuia misaada kwa nchi maskini duniani
Jun 12, 2021 22:50Wakati maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 vikiendelea kusababisha mgogoro wa kiuchumi na umaskini katika nchi mbalimbali duniani na kuzifanya nchi hizo zihitajie misaada zaidi ya nchi tajiri, maafisa wa serikali ya Marekani wanafanya mikakati ya kuzuia misaada kwa nchi hizo kwa kutumia visingizio vya aina mbalimbali.