-
Amnesty: China imewafanyia Waislamu wa Uighur 'jinai dhidi ya binadamu'
Jun 11, 2021 03:22Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Waislamu wa jamii ya Uighur nchini China wanakabiliwa na vitendo vya mateso na unyanyasi unaoelezwa kuwa umekuwa ukifanywa na serikali ya Beijing, na kusisitiza kuwa dhulma hizo zina uzito wa 'jinai dhidi ya binadamu.'
-
Biden afuta amri ya Trump ya kuzifungia baadhi ya programu za China
Jun 10, 2021 02:20Ikulu ya Marekani, White House imetangaza kuwa, rais wa nchi hiyo, Joe Biden amefuta amri iliyokuwa imetolewa na rais aliyemtangulia, Donald Trump ya kuzifungia baadhi ya programu za simu za mkononi za China.
-
WHO: Hatutailazimisha China itupe taarifa zaidi kuhusu chanzo cha Corona
Jun 08, 2021 03:19Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema taasisi hiyo ya kimataifa haitashurutisha China itoe data na taarifa zaidi juu ya chanzo cha virusi vya Corona.
-
Mwanasayansi wa Marekani atahadharisha, asema kutaibuka COVID-26 na COVID-32
Jun 01, 2021 21:59Mwanasayansi wa Marekani ameonya kwamba, kutajitokeza COVID-26 na COVID-32 iwapo hatufanyika uchunguzi wa kina wa kubaini asili na chanzo cha virusi vya Corona vinavyosababisha maradhi ya COVID-19.
-
Iran, China na Russia zashauriana kuhusu mazungumzo yajayo ya JCPOA
May 31, 2021 22:22Mwakilishi wa Russsia katika taasisi za kimataifa zenye makao mjini Vienna nchini Austria amesema kuwa jumbe za Iran, China na Russia zimejadiliana huko Vienna kuhusu hatua mazungumzo yajayo ya JCPOA.
-
Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia
May 23, 2021 06:27Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya hujuma yoyote ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa China.
-
Onyo kali la China kuhusu chokochoko za Marekani katika eneo la Asia Mashariki
May 21, 2021 06:01Kufuatia kuingia kinyume cha sheria meli ya kivita ya Marekani katika eneo la baharini la China katika Bahari ya Kusini ya China , wakuu wa Beijing wametoa onyo kali kwa Ikulu ya White House kuhusu madhara ya ukiukwaji wa mipaka ya China.
-
China: Marekani inahatarisha amani kwenye langobahari la Taiwan, mapigano yanaweza kutokea
May 19, 2021 01:34China imekosoa harakati za kichochezi zinazofanywa na Marekani katika langobahari la Taiwan na kueleza kwamba, kuweko manowari ya Marekani katika eneo hilo kunahatarisha amani na uthabiti katika njia hiyo ya baharini ya maji ya kimataifa.
-
China yasisitiza kutokuwepo uadilifu katika usambazaji wa chanjo ya corona duniani
May 16, 2021 22:05Katika hali ambayo virusi vya corona vinaendelea kuuawa watu wengi duniani na mataifa mengi kutokuwa na uwezo wa kujidhaminia chonjo za kukabiliana na maradhi hayo hatari, nchi tajiri za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinaendelea kutekeleza ugaidi wa dawa na vifaa vya matibabu katika ngazi za kimataifa.
-
China yapinga unafiki wa Marekani, yasema Washington imeua Waislamu wengi dunia
May 11, 2021 12:42China imepinga unafiki wa Merekani katika madai yake ya kutetea haki za Waislamu waliowachache katika eneo la Magharibi mwa China la Xinjiang, na kusisitiza kuwa, Marekani imeua Waislamu wengi katika vita na operesheni zake za kijeshi kuliko nchi nyingine yoyote duniani.