-
Profesa wa Chuo Kikuu China: Iran ni moja ya nchi chache duniani zinazothubutu kuiambia Marekani "hapana"
May 07, 2021 10:59Mhadhiri wa chuo kikuu nchini China amesema, umoja na irada ya mataifa mawili ya China na Iran ya kusimama imara kukabiliana na uchu wa Marekani na utawala wa Kizayuni ni ya kupigiwa mfano.
-
Redio ya China: Marekani ndiyo inayofanya chokochoko dhidi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi
May 01, 2021 21:53Redio ya serikali na kimataifa ya China imeashiria harakati za jeshi la Marekani katika Ghuba ya Uajemi na kueleza kwamba, kinyume na madai ya Washington, Marekani ndiyo inayoendelea kufanya chokochoko hivi sasa dhidi ya Iran.
-
Hati ya ushirikiano mpana wa kistratijia wa Iran na China na wasiwasi wa Wamagharibi
Apr 16, 2021 22:11Tarehe 29 Machi mwaka huu, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China walitia saini hati ya ushirikiano mpana wa kistratijia wa nchi mbili, kufuatia safari ya Wang Yi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China mjini Tehran, ikiwa ni katika kukaribia maadhimisho ya kutimia miaka 50 ya uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Beijing.
-
Ajali mbaya ya treni yaua na kujeruhi watu 108 nchini Taiwan
Apr 02, 2021 09:46Watu 108 wameuawa na kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki ya kisiwa cha Taiwan
-
WHO: Chanjo ya China ni salama
Apr 01, 2021 03:07Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa chanjo za corona zilizotengenezwa China ni za kuaminika na wala hazina hatari yoyote.
-
White House: Tunachunguza uwezekano wa kutekeleza vikwazo baada ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na China
Mar 30, 2021 03:25Msemaji wa White House ametoa radiamali yake kufuatia kusainiwa mpango wa ushirikiano wa kimkakati wa miaka 25 kati ya Iran na China.
-
Kuendelea mivutano kati ya China na Marekani
Mar 29, 2021 22:00Licha ya kuwepo utabiri wa awali kwamba mivutano iliyokuwepo kati ya China na nchi za Magharibi na hasa Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ingepungua pakubwa mara tu baada ya kuoondoka madarakani rais huyo na kuingia White House Joe Biden, lakini mivutano hiyo ingalipo bali imeongezeka hata zaidi.
-
Ali Shamkhani: Ushirikiano wa kistratejia Mashariki unaharakisha kusambaratika Marekani
Mar 29, 2021 03:45Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, ushirikiano wa kistratejia wa Mashariki utaharakisha kusambaratika Marekani.
-
Baada ya China kuiwekea vikwazo UK, sasa London yalalamika
Mar 26, 2021 22:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amelalamikia vikali vikwazo vilivyowekwa na China dhidi ya nchi yake.
-
Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA
Mar 24, 2021 07:51Wang Yi na Sergei Lavrov, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Russia Jumatatu wiki hii tarehe 22 Machi walisiistiza udharura wa kurejea Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya masharti yoyote na kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran.