-
Lavrov asisitiza kuondolewa sarafu ya dola katika mzunguko wa mfumo wa fedha
Mar 22, 2021 03:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza utumiaji wa sarafu nyinginezo badala ya dola katika mabadilishano ya kibiashara.
-
Kikao cha Alaska na kukaririwa tuhuma za Marekani dhidi ya China
Mar 20, 2021 23:49Kushadidi mpambano baina ya Marekani na China tangu baada ya Joe Biden kushika hatamu za uongozi kumezifanya pande hizo mbili kuitisha kikao cha ngazi za juu ambacho kilifanyika Alkhamisi iliyopita katika eneo la Anchorage kwenye jimbo la Alaska.
-
Marekani; tishio kubwa zaidi kwa China
Mar 08, 2021 06:28Huku vita vya maneno vikizidi kuongezeka kati ya viongozi wa China na Marekani, mara hii Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa Marekani ndilo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa nchi yake.
-
Wasomi 26 wataka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu chanzo cha virusi vya corona
Mar 05, 2021 04:18Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limetangaza kuwa, wasomi 26 wameandika barua ya wazi wakitaka kufanyike uchunguzi mpya wa kimataifa kuhusu chanzo cha virusi vya corona.
-
Rais Xi: Marekani ndilo tishio kuu kwa ustawi na usalama wa China
Mar 04, 2021 23:01Rais Xi Jinping wa China amesema Marekani ndilo tishio kubwa zaidi kwa maendeleo na usalama wa nchi hiyo ya Asia.
-
Iran yapokea dozi robo milioni za chanjo ya Corona kutoka China
Feb 28, 2021 09:51Shehena ya kwanza ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka China imewasili hapa nchini Iran leo Jumapili.
-
Zarif: Matukio ya kimataifa hayaathiri uhusiano wa kistratijia wa Iran-China
Feb 16, 2021 22:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amepongeza 'ushirika wa kistratijia' wa Iran na China na kuongeza kuwa, matukio ya kimataifa hayawezi kuathiri urafiki baina ya washirika hawa wawili.
-
China yatoa onyo kali: Taiwan kuwa nchi huru maana yake ni "kutangaza vita"
Jan 29, 2021 09:30China imetumia lugha kali zaidi katika kuamiliana na Taiwan kwa kuonya kuwa, kisiwa hicho kujitangazia uhuru ni sawa na kutangaza vita na kwamba vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimesha jiweka tayari kuchukua hatua dhidi ya uchochezi na uingiliaji wa kigeni.
-
China yamwekea vikwazo Pompeo na maafisa wenzake 27 kwa 'uongo na udanganyifu'
Jan 21, 2021 03:33Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kuwa imemwekea vikwazo Mike Pompeo, waziri wa mambo ya nje wa serikali ya Marekani iliyomaliza muda wake ya Donald Trump pamoja na maafisa wengine 27 wa serikali hiyo kwa sababu ya kile ilichokiita hatua za kiwendawazimu zilizoingilia vibaya sana masuala ya ndani ya China.
-
Jibu la Beijing kuhusu madai kwamba China inaunga mkono mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan
Jan 02, 2021 23:20China imeyataja madai kwamba inalifadhili kifedha kundi la wanamgambo wa Taliban ili lifanye mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan kuwa ni ya uwongo.