-
China: Chanzo cha matatizo ni Marekani kujitoa JCPOA na kuanzisha mashinikizo ya juu kabisa
Dec 22, 2020 09:19China imesisitiza kuwa, kurudi Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanza tena kutekeleza majukumu yake ndio njia sahihi na ya kimantiki ya kupunguza mivutano.
-
Chombo cha China kilichofika mwezini charejea duniani
Dec 17, 2020 08:19Chombo cha anga za mbali cha China kinachojulikana kama Chang’e -5 kilichorushwa kwenda kwenye mwezi, mapema leo kimetua duniani kikiwa na sampuli za kwanza zilizokusanywa kutoka kwenye mwezi, ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha 40.
-
China yatoa onyo tena kwa Marekani kuhusiana na Taiwan
Nov 25, 2020 04:22Kwa mara nyingine China imeionya Marekani kuhusiana na safari zinazofanywa na maafisa wa nchi hiyo katika kisiwa cha Taiwan.
-
Kundi la G-77 na China zatoa wito wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran
Nov 14, 2020 06:16Baada ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 katika fremu ya siasa zake za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi, Marekani iliamua kutekeleza na kuzidisha vikwazo vikali dhidi ya Jamhuri ya Kiilamu ya Iran ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia.
-
Kundi la G77 na China zataka Iran iondolewe vikwazo mara moja
Nov 14, 2020 03:54Kundi la nchi 77 (G77) pamoja na China zimetaka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viondolewa haraka iwezekanavyo.
-
China yaruhusu matumizi ya chanjo ya COVID-19 ya CoronaVac
Oct 18, 2020 00:54Mji wa Jiaxing ulioko mashariki mwa China jana uliidhinisha matumizi ya chanjo ya virusi vya corona ya CoronaVac ambayo imeingizwa sokoni na kuanza kuuzwa kwa gharama ya dola 60 za kimarekani.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China washauriana kuhusu ushirikiano wa kiistratijia
Oct 11, 2020 00:44Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China wamefanya mashauriano ya pamoja kuhusu Mpango Mkuu wa Ushirikiano wa Kiistratijia wa nchi mbili.
-
Onyo kali la China la kuzitungua ndege za kivita za Marekani
Oct 01, 2020 21:08Kufuatia kushadidi mivutano na mikwaruzano kati ya China na Marekani, Beijing imeonya kuwa ikiwa ndege zisizo na rubani, ndege za kivita au vyombo vingine vyovyote vya kijeshi vya Marekani vitashambulia ardhi au visiwa vya China na kuisababishia hasara, hapana shaka vitalengwa na kutunguliwa.
-
China yakadhibisha madai ya kuvunja maelfu ya misikiti ya Waislamu wa Uighurs
Sep 27, 2020 01:10Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya China imekadhibisha madai yaliyotolewa na Taasisi ya Sera za Kistratejia ya Australia (The Australian Strategic Policy Institute) ASPI ikisema kuwa makumi ya misikiti imebomolewa katika eneo la Xinjiang lililoko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watafiti: China inasimamia kambi zaidi ya 380 za kuwekea watu kizuizini katika eneo la Xinjiang
Sep 24, 2020 23:04Mtandao wa serikali ya China wa kambi za kuwekea watu kizuizini katika eneo la Xinjiang lililoko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ni mkubwa zaidi ya ilivyokuwa ikifikiriwa na ungali unaendelea kupanuliwa.