Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Kundi la G77 na China zataka Iran iondolewe vikwazo mara moja

    Kundi la G77 na China zataka Iran iondolewe vikwazo mara moja

    Nov 14, 2020 03:54

    Kundi la nchi 77 (G77) pamoja na China zimetaka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viondolewa haraka iwezekanavyo.

  • China yaruhusu matumizi ya chanjo ya COVID-19 ya CoronaVac

    China yaruhusu matumizi ya chanjo ya COVID-19 ya CoronaVac

    Oct 18, 2020 00:54

    Mji wa Jiaxing ulioko mashariki mwa China jana uliidhinisha matumizi ya chanjo ya virusi vya corona ya CoronaVac ambayo imeingizwa sokoni na kuanza kuuzwa kwa gharama ya dola 60 za kimarekani.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China washauriana kuhusu ushirikiano wa kiistratijia

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China washauriana kuhusu ushirikiano wa kiistratijia

    Oct 11, 2020 00:44

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China wamefanya mashauriano ya pamoja kuhusu Mpango Mkuu wa Ushirikiano wa Kiistratijia wa nchi mbili.

  • Onyo kali la China la kuzitungua ndege za kivita za Marekani

    Onyo kali la China la kuzitungua ndege za kivita za Marekani

    Oct 01, 2020 21:08

    Kufuatia kushadidi mivutano na mikwaruzano kati ya China na Marekani, Beijing imeonya kuwa ikiwa ndege zisizo na rubani, ndege za kivita au vyombo vingine vyovyote vya kijeshi vya Marekani vitashambulia ardhi au visiwa vya China na kuisababishia hasara, hapana shaka vitalengwa na kutunguliwa.

  • China yakadhibisha madai ya kuvunja maelfu ya misikiti ya Waislamu wa Uighurs

    China yakadhibisha madai ya kuvunja maelfu ya misikiti ya Waislamu wa Uighurs

    Sep 27, 2020 01:10

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya China imekadhibisha madai yaliyotolewa na Taasisi ya Sera za Kistratejia ya Australia (The Australian Strategic Policy Institute) ASPI ikisema kuwa makumi ya misikiti imebomolewa katika eneo la Xinjiang lililoko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Watafiti: China inasimamia kambi zaidi ya 380 za kuwekea watu kizuizini katika eneo la Xinjiang

    Watafiti: China inasimamia kambi zaidi ya 380 za kuwekea watu kizuizini katika eneo la Xinjiang

    Sep 24, 2020 23:04

    Mtandao wa serikali ya China wa kambi za kuwekea watu kizuizini katika eneo la Xinjiang lililoko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ni mkubwa zaidi ya ilivyokuwa ikifikiriwa na ungali unaendelea kupanuliwa.

  • Mivutano baina ya Marekani na China yashadidi baada ya hotuba ya Trump katika Umoja wa Mataifa

    Mivutano baina ya Marekani na China yashadidi baada ya hotuba ya Trump katika Umoja wa Mataifa

    Sep 24, 2020 04:40

    Katika hotuba yake ya mwisho kwenye ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi chake cha kwanza cha urais wa Marekani, Donald Trump amejikita zaidi katika masuala ya China na Iran na kudai kuwa, Marekani imejiondoa katika makubaliano mabaya sana ya nyuklia ya JCPOA na imeiwekea Iran vikwazo vya kulema.

  • Msimamo mmoja wa kundi la 4+1 mbele ya madai hewa ya Marekani kuhusu Iran

    Msimamo mmoja wa kundi la 4+1 mbele ya madai hewa ya Marekani kuhusu Iran

    Sep 21, 2020 07:03

    Licha ya Marekani kutoa madai hewa ya kuanza kutekelezwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran kuanzia jana Jumapili Septemba 20, 2020 vikiwemo vikwazo vya silaha, lakini mataifa ya dunia yamepinga madai hayo ya Washington na yamechukua msimamo imara kiasi kwamba inaonekana kama vile hakuna mabadiliko yoyote yaliyotokea.

  • Taiwan; mstari mwekundu wa China

    Taiwan; mstari mwekundu wa China

    Sep 19, 2020 02:19

    Ijumaa ya jana tarehe 18 Septemba, jeshi la China lilianza kufanya luteka ya kijeshi jirani na Taiwan katika kipindi hiki cha anga ya mzozo na mvutano baina ya Beijing na Taipei.

  • Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani

    Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani

    Sep 13, 2020 03:04

    Uhusiano wa Russia na Marekani umekuwa na mivutano mikubwa baada ya kutokea mgogoro huko Ukraine mwaka 2014. Moja ya kadhia ambazo zimebadilika huko Marekani katika miaka ya karibuni na kuwa dhidi ya Moscow ni mjadala wa madai ya Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani. Kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani hivi sasa soko la tuhuma hizo limezidi kupamba moto.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS