Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Waafrika 111 waishio Guangzhou, China wabainika kuambukizwa virusi vya corona

    Waafrika 111 waishio Guangzhou, China wabainika kuambukizwa virusi vya corona

    Apr 14, 2020 03:35

    Jumla ya raia 111 wa nchi za Kiafrika wanaoishi katika mji wa Guangzhou ulioko kusini mwa China wamebainika kuwa wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la China, Xinhua.

  • China yakemea ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika waishio nchini humo kwa kisingizio cha corona

    China yakemea ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika waishio nchini humo kwa kisingizio cha corona

    Apr 10, 2020 09:17

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imekemea vitendo vya unyanyasaji na ubaguzi dhidi ya Waafrika wanaoishi katika jimbo la Guangdong kusini mwa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, serikali ya Beijing itaendelea kuhakikisha raia wote wa kigeni wanapatiwa haki sawa nchini humo.

  • Madai ya Pompeo: China na Russia zinaficha taarifa za virusi vya Corona

    Madai ya Pompeo: China na Russia zinaficha taarifa za virusi vya Corona

    Mar 25, 2020 23:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amedai kuwa serikali za Russia na China zinajiepusha kutoa taarifa sahihi za virusi vya Corona.

  • China yaendelea kuipatia Iran misaada ya vifaa vya tiba kwa ajili ya kukabiliana na corona

    China yaendelea kuipatia Iran misaada ya vifaa vya tiba kwa ajili ya kukabiliana na corona

    Mar 21, 2020 03:37

    Shehena nyingine nne za vifaa vya tiba za msaada wa serikali na wananchi wa China kwa ajili ya kukabiliana na kirusi cha corona zimetumwa hapa nchini.

  • Takwa la Russia la kuondolewa vikwazo visivyo vya kiutu vya Marekani dhidi ya Iran

    Takwa la Russia la kuondolewa vikwazo visivyo vya kiutu vya Marekani dhidi ya Iran

    Mar 17, 2020 23:39

    Kuendelea vikwazo vya Marekani vyenye wigo mpana na ambavyo havijawahi kushuhudiwa dhidi ya Iran ambavyo vilianza kutekelezwa baada ya Washington kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei 2018, ni hatua ambayo ilikabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa katika uga wa kimataifa ambapo hata washirika wa Ulaya wa Washington nao waliikosoa hatua hiyo isiyo ya kibinadamu.

  • China yaipongeza Iran kutokana na juhudi zake za kupambana na Corona

    China yaipongeza Iran kutokana na juhudi zake za kupambana na Corona

    Mar 14, 2020 23:00

    Rais Xi Jinping wa China katika ujumbe aliomtumia Rais Hassan Rouhani wa Iran amepongeza juhudi za kibinaadamu za Tehran katika kuwasaidia raia wa nchi yake walioathirika na virusi vya Corona.

  • Gavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona

    Gavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona

    Mar 13, 2020 13:20

    Gavana wa jimbo la Ohio nchini Marekani amesema kuwa ripoti za Idara ya Afya zinaonyesha kuwa, karibu asilimia moja ya wakazi wa jimbo hilo wameambukizwa virusi vya COVID-19 (Corona).

  • Mtaalamu wa China: Janga la virusi vya Corona vinaweza kumalizika mwezi Juni mwaka huu

    Mtaalamu wa China: Janga la virusi vya Corona vinaweza kumalizika mwezi Juni mwaka huu

    Mar 12, 2020 23:20

    Mshauri mwandamizi wa matibabu wa China amesema kuwa, ugonjwa wa virusi vya Corona ulimwengu unaweza kumalizika ifikapo Juni mwaka huu iwapo nchi zote zitaungana kupambana na virusi hivyo.

  • Upinzani wa mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 kwa msimamo wa IAEA kuhusu Iran

    Upinzani wa mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 kwa msimamo wa IAEA kuhusu Iran

    Mar 05, 2020 22:54

    Ripoti ya mwisho kabisa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Iran, mbali na kudai kwamba Tehran haikuchunga mipaka iliyowekwa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, imetoa madai mengine mapya kuhusu Iran, mambo ambayo yamepingwa na mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 ambao unaundwa na nchi mbili za Russia na China.

  • Waziri wa Afya: Mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya Corona yatawashangaza walimwengu

    Waziri wa Afya: Mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya Corona yatawashangaza walimwengu

    Feb 28, 2020 08:30

    Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaushangaza ulimwengu kutokana na mbinu yake ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS