Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Kukiri Rais wa Ufaransa juu ya kufikia tamati ubeberu wa Magharibi duniani

    Kukiri Rais wa Ufaransa juu ya kufikia tamati ubeberu wa Magharibi duniani

    Aug 29, 2019 00:21

    Kwa karne kadhaa Wamagharibi wametekeleza ubeberu katika uga wa kimataifa iwe ni katika kipindi cha ukoloni au katika zama za ubeberu; daima walifanya unyonyaji dhidi ya wananchi na mataifa mengine ya dunia.

  • Zarif akiwa Beijing; ramani ya njia ya miaka 25 ya kutekeleza ushirika wa kistratijia baina ya Iran na China

    Zarif akiwa Beijing; ramani ya njia ya miaka 25 ya kutekeleza ushirika wa kistratijia baina ya Iran na China

    Aug 27, 2019 02:52

    Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akiwa anaongoza ujumbe wa ngazi za juu, Jumapili alitembelea China.

  • Zarif: Uhusiano wa Iran na China ni wa pande zote na wa kistratejia

    Zarif: Uhusiano wa Iran na China ni wa pande zote na wa kistratejia

    Aug 26, 2019 22:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na China ni wa pande zote na wa kistratejia.

  • Russia na China zaitisha kikao cha Baraza la Usalama la UN dhidi ya Marekani

    Russia na China zaitisha kikao cha Baraza la Usalama la UN dhidi ya Marekani

    Aug 22, 2019 01:05

    Maafisa wa Russia na China wametoa wito wa kufanyika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili mipango ya Marekani ya kustawisha makombora ya masafa ya kati ya kuyapeleka katika baadhi ya maeno ya dunia hususan Asia na Ulaya.

  • Ukosoaji mkali wa Russia na China dhidi ya majaribio ya kombora la Cruise la Marekani

    Ukosoaji mkali wa Russia na China dhidi ya majaribio ya kombora la Cruise la Marekani

    Aug 21, 2019 03:11

    Mwezi uliopita Rais Trump wa Marekani aliendeleza sera yake ya kujiondoa katika makubaliano na mikataba ya kimataifa kwa kuiondoa nchi hiyo katika mkataba wa Slaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF). Hatua hiyo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni utangulizi wa ajenda kubwa zaidi ya serikali ya Washington ya kustawisha na kuzalisha silaha mpya.

  • Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir

    Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir

    Aug 15, 2019 22:05

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan Shah Mehmood Qureshi amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia, Sergey Lavrov kuhusiana na hali ya eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.

  • China yaionya Uingereza kuhusu kuchochea ghasia Hong Kong

    China yaionya Uingereza kuhusu kuchochea ghasia Hong Kong

    Aug 11, 2019 03:10

    China imeionya Uingereza na kuitaka iache kuingilia mambo yake ya ndani baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Dominic Raab kutaka uchunguzi huru ufanyike kuhusu ghasia za hivi karibuni katika koloni lake la zamani, Hong Kong.

  • Radiamali ya Marekani kuhusiana na kufichuliwa njama ya uingiliaji wake Hong Kong

    Radiamali ya Marekani kuhusiana na kufichuliwa njama ya uingiliaji wake Hong Kong

    Aug 09, 2019 06:21

    Marekani imeikosoa China kwa kuonyesha picha za mwanadiplomasia wake aliyeonyeshwa akikutana kwa siri na viongozi wa harakati inayotajwa kuwa ya wanachuo wanaotetea demokrasia huko Hong Kong.

  • Serikali ya China yaamuru nembo za Kiarabu na Kiislamu ziondolewe katika mji mkuu Beijing

    Serikali ya China yaamuru nembo za Kiarabu na Kiislamu ziondolewe katika mji mkuu Beijing

    Jul 31, 2019 08:22

    Mamlaka za dola katika mji mkuu wa China, Beijing zimeiamuru mikahawa ya vyakula vilivyo halali kuliwa Kiislamu pamoja na vioski vya vyakula kuondoa maandishi ya Kiarabu na nembo zinazohusiana na Uislamu katika alama za majengo yao, ikiwa ni sehemu ya upanuzi wa kampeni ya kitaifa ya "KuChinisha" jamii ya Waislamu wa nchi hiyo.

  • Larijani: Kustawishwa uhusiano wa Iran na China ni kwa maslahi ya amani na usalama wa dunia

    Larijani: Kustawishwa uhusiano wa Iran na China ni kwa maslahi ya amani na usalama wa dunia

    Jul 30, 2019 09:01

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kustawishwa uhusiano wa Tehran na Beijing ni kwa ajili ya amani na usalama wa dunia na kueleza kuwa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kuimarishwa uhusiano kati ya nchi mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS